Ma-professors wengi ndio engine ya serikali na nchi kwa ujumla...
Kusoma sana hakuna mbadala kama nchi inataka kusonga mbele...
Tajiri wa kutupwa hawezi kuwa "Policy Maker" wa nchi kwa maana pesa anazo lakini hana utaalam...
Ma-professor sio matajiri wa kutupwa lakini wao ndio huwapangia hao matajiri wa kutupwa namna gani ya kutumia pesa zao kama vile viwango vya kodi wanavyopaswa kulipa serikalini...
Ndio ukweli huo mkuu...Sio kweli hata kidogo,,
Trump sio "Policy Maker" yeye anatekeleza sera za nchi kama mwanasiasa na haundi sera.Donald John Trump ni tajiri Wa kutupwa lakini ni Rais Wa Marekani
Ni mwanasiasa ila sio muunda mipango wa nchi. Sio THINK TANK wa taifa la Marekani...Mayor Wa New York Michael Bloomsburg ni tajiri Wa kutupwa lakini ni mwanasiasa maarufu marekani
Sawa upo sahihi ni mwanasiasa tajiri.Berluscon alikuwa waziri mkuu Wa Italy na alikuwa tajiri mkubwa nchini humo.
Upo sahihi. Mwanasiasa ni mtekeleza sera na sio muunda sera (Policy Maker)...Hata hapa kwetu wakina Freeman Mbowe ni matajiri kwao tangu babayake Aikael Mbowe mpaka mwanae Freeman lakini ni wanasiasa wote wawili.
Sawa mkuu, mifano ni mingi sana mpaka familia ya akina Bush na Clinton...Mkumbuke pia Paul Rupiah aliyekuwa mfanyabiashara tajiri sana Mwanza, na alikuwa mwanasiasa pia aliyemsaidia sana Mwl Nyerere kwenye kudai Uhuru.
Ila wewe jamaa unapenda sana kutunga mambo. Ni wapi nimesema kuwa tajiri hawezi kuwa mwanasiasa? Kwanini unanisingizia mambo ambayo sijayasema humu mkuu?...Kwahiyo hoja yako kuwa matajiri eti hawawezi kuwa wanasiasa eti kwasababu wana Mali nyingi hawahitaji kuwa viongozi ni mufilisi,
Ahahahha...ketaketa,chikuti, uponera ,makanga ,lukande,mdindoMa-genius wengi darasa la saba wamejaa huuukooo vijijini ndani ndani Mchombe, Mngeta, Kotako, Ulanga, Mahenge, Epanko, Luli, Malinyi.
Mbona sijaongelea issues za SIASA vs UTAJIRI?...matajiri wengi wanahitaji kuwa wanasiasa au kwenye uhusiano na wanasiasa ili Mipango yao iende vizuri, mwangalie Abood Wa morogoro ni mbunge Wa ccm, kwani anashida gani kwenye Mali au siasa?!
Unatoa mifano mingi sana mbayo ipo nje kabisa ya mada mkuu. Yaaani hoja ya KUSOMA SANA vs UTAJIRI wewe umeigeuza kuwa SIASA vs UTAJIRI? Umenishangaza sana mkuu...Mwangalir Mohamed Dewji alikuwa mbunge Wa Singida, kwani sio tajiri mkubwa?!
Mwangalir Rostam Aziz alikuwa mbunge huko tabora kwani hakuwa tajiri?!
Mwangalie mzee Ndesamburo, alikuwa mbunge Wa Moshi Mjini na alikuwa tajiri vilevile?!
Mipango hupangwa na "Policy Makers" ambao wapo wizarani na Ikulu, hao jamaa sio wanasiasa hata kidogo. Wao ni wazalendo to the fullest...Asikudanganye mtu eti matajiri hawataki kuwa wanasiasa wakati unajua fika Mipango ya nchi ya kiuchumi ndio upangwa na wanasiasa
Hoja ya SIASA vs BIASHARA ni yako wewe na sijaianzisha katika mjadala huu.nani hataki kuwa mwanasiasa ili Mipango take ya kibiashara iende vizuri?!
Lakini utajiri wao unasimamiwa na wasomi wa kihivyo (Financial advisors). Si ndio?...Hata wakina bill get, naaliyekuwa job Steve, mkuu wa amazon, nk sio wasomi kihivyo!
Utajiri wa zali huo. Unaweza upate ama ukose. Ni kama mtu anayefanya betting...Utajiri wa "kuthubutu " wanaweza. Akili finyu ila unapata utajiri.