Ezenwe Olumba
Senior Member
- Jan 24, 2020
- 128
- 238
Habari wadau wa jamiiforums
Naomba nikiri kuwa Mimi nimuathirika wa wa utapeli kwa njia ya mtandao.
Mnamo tarehe tatu mwezi Juni 2021, nilipgiwa simu na mtu ambaye alikuwa kwenye ofisi yangu(mfanyakazi wangu) kuwa Kuna mtu alikuwa na uhitaji wa maalumu kutokana na na yeye kuumwa. Akaomba atoe pesa kwenye m-pesa yangu lakini alikuwa hana namba ya voda na kumbidi aombe namba ya uwakala na kumtumia huyo ili aweze kutoa pesa na pesa hio apewe yeye,
Akakataliwa akaomba Tena kuwa Kama Kuna mtu anaweza tumia pesa ili atoe kuipitia namba ya simu ya huyo mtu, basi nikapigiwa simu nikamsikiliza huyo mhudumu wangu, akatoa maelezo kuwa huyo mtu anaumwa na analia kwa hio anahitaji hio pesa ili aene zahati ya karibu iliyo karibu na ofisi yangu. Nikakubali (symphacy) kutokana na uhitaji wake, nikatumiwa kiwango x na Y na yeye akapewa pesa hizo akawa anaelekea Zahanati ili kuonesha kweli no mgonjwa.
Dakika mbili kukafanyika reversal ya Ile miamala kwenda kwa mtumaji, nikampigia simu mhudumu akaenda mpaka pale Zahanati hakumkuta yule mtu, nikaagiza afunge ofisi na aende nyumbani akapumzike. Nikapiga simu voda ili kutoa msaada wa namna ya kuzui hizo hela lakini sikuweza kupokelewa kwa sababu Ili niongee na mtoa huduma ulipaswa na bonyeze Tisa, nikibonyeza kungea na mtoa huduma naambiwa naweza wasiliana nao kwa njia ya wasapu na sms tuu ( ugumu huu ulinitia hasira),
Ikabidi niazime simu ya mtu, nikapiga nikapokelewa kwa kubonyeza namba Tisa, nikaongea na mtoa huduma Ila sikulizika na sababu alizozitoa kuwa hawezi nisaidia. Ikabidi nipige Mara ya pili ili nihudumiwe na mtoa huduma mwingine lakini Ile namba Tisa katika maelekezo ukibofya wanakwambia chagua kuwasiliana kwa njia ya wasapu ama sms na sikuwa na uwezo wa kuongea Tena na mtoa huduma.
Katika hili watoa huduma Kuna mambo hajakaa sawa ama wanafanya makusudi ama nao ni wanufaika huo utapeli. Unandwaje kukinda Wala huduma zako?
Mapendekezo
Moja, Vidacom wanapaswa kubeba jukumu la kukinda wateja wao, hili swala la mtu kurudisha miamala ( reversal) bila kushirikiana mpokeaji wa hio pesa Ni kosa kabisa, waone umuhimu wa kufanya call conferencing Kati hizo pande mbili ili kila upande utoe maelezo na kuweka mizania sawa ili kukinda pesa za wateja.
Mbili, voda wanapaswa kuvaa viatu vya wateja wao ( symphacy), wanapaswa kuwa sehemu ya suluhu sio tatizo. Hivi unazuaje Mimi kungea na mtoa huduma kwa wateja wakati tatizo nililitolea taarifa Ni zito na linahitaji uharaka zaidi.
Tatu, waondoe hio huduma ya mtu mwenyewe kurusha miamala, swala la kurudisha miamala libakie kwa watu wa call center hata miamala ya C2C ( mteja kwa mteja), kuipitia Hilo watu wa back desk watakuwa na muda wa kujirizisha vyakutosha kabla ya kurudisha miamala.
Hivi katika Hali ya kawaida mtu anaweza kosea kutuma pesa kwenda kwa mtu mmoja mara mbili (Tafakuri) na wew mtoa huduma ukaruhusu mtu kufanya reversal kwa miamala miwili kutoka kwa mtu mmoja bila kushikisha upande wa pili (panahitaji uwajibikaji wa Hali ya juu katika hili Ni uzembe wa mtoa huduma). Utapeli mwingi unafanyika kwa sababu mtoa huduma kashindwa kukinda mlaji wa huduma.
Nne: jeshi la polisi lifanye kazi kwa Kasi kubwa na kutumia tekinolojia ya kisasa, mtu utakuta natumia simu moja kwa lakini tofauti kitapeli watu maeneo tafauti lakini kumkamata inakuwa shida, inapaswa mtu hata akibadili lakini hamsini yafaa apatikane na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria, Tena siku hizi vijana wanakunywa pombe usiku kucha na inakuja jitu lenyewe halina kazi lakini pesa anazo na anapata wapi Ni njia utapeli hasa mtandao.
Vodacom:mjipime Kama mnafaa ama rahasha.