Ni watanzania hao tusijaribu kupanda mbegu za ubaguzi; ni kama ambavyo wangoni asili yao ni ni wazulu wa Afrika ya Kusini lakini wangoni ni wa Tanzania. Kuna makabila mengi sana Tanzania ambayo yanaweza kutrace asili zao nje ya nchi; kwa mfano wapemba wengie asili yao ni Oman, wazaramo wengi na wamanyema asili yao ni Kongo. lakini wote ni watanzania.Wajaluo wa Rorya, asili yao Kisumu Western Kenya
Mjaluo. Wajaluo si Wakenya sawa na walivyo WamasaiOnyango Otieno ni Mkenya??
MTU yeyote anaweza kutengeneza vitu kama hivyo ikiwacanajua kutumia kompyuta. Habari haina naana wala uzito.View attachment 1504183
Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka
Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini huku kwingine sifahamu adhabu anayopaswa kuipata .
Mjaluo fahamu rorya wanaishi wajaluo.Onyango Otieno ni Mkenya??
du!!!View attachment 1504183
Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka
Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini huku kwingine sifahamu adhabu anayopaswa kuipata .
Nyie wenye CCM sijui mnauonaje huu mchezo wa mwaka huu? Maana nchi haijawahi kufanya uchaguzi wa maigizo kama mwaka huu!! Eti wabunge waliotoka upinzani kwenda ccm wasipingwe!!?Mmoja kavuta fomu Jimbo mojawapo ktk mkoa wa Pwani halafu kaenda kuvuta mkoa wa Katavi. Wenyewe wanasema rais anateua watia nia wa ccm ama wapinzani wenye mvuto. Ndiyo maana wanategesha majina yao pande zote
Mkuu unaelekea kugusa Biharamuro na Chato sasa kua ni Burundi na Rwanda..ebu achana na Siasa za namna hiiWajaluo wa Rorya, asili yao Kisumu Western Kenya
Mkuu unaelekea kugusa Biharamuro na Chato sasa kua ni Burundi na Rwanda..ebu achana na Siasa za namna hiiWajaluo wa Rorya, asili yao Kisumu Western Kenya
Acha ubaguzi..wasomali,Wahindi na Waarabu mbona wapo Bungeni?Ila mbona jamaa ana jina la kikenya....... Wakenya wanagombea ubunge Tanzania now days....?!
Weka tuoneWewe Bawacha hizi poster hata wewe si unaweza tengeneza? Nilifikiri umeweka video au audio akitamka kutia nia majimbo tofauti na kwa chama tofauti! Hata mimi naweza tengeneza poster ya Mlevi mbowe akitia nia majimbo kumi tofauti na kwa vyama vinne tofauti
Wapuuzi kama hawa ndio waunga juhudi mchana kweupee tena kwa kutukana walikotokaView attachment 1504183
Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka
Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini huku kwingine sifahamu adhabu anayopaswa kuipata .
Kwa upande wa Tanzania. Ila Ujaluo ni ukanda mkubwa wa mashariki ya ziwa Nyanza.Mjaluo fahamu rorya wanaishi wajaluo.