B
Basi apewe tu ushindi maana mpinzani wake ni yeye mwenyeweBasi apitishwe kote kote...!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi apewe tu ushindi maana mpinzani wake ni yeye mwenyeweBasi apitishwe kote kote...!!!
Nasema hivi, hawezi kanusha ujinga. Kama anagombea jimbo moja anajua yeye. Dunia ya leo ya tehama inakuaje mtu unaamini upuuzi wa namna hii bila kujiridhisha? Ndio mnafunzwa hivyo ufipa?Anagombea jimbo gani na kwa chama kipi ?
Mkuu wewe bado ni kijana mdogo sana kwenye siasa za TanzaniaNasema hivi, hawezi kanusha ujinga. Kama anagombea jimbo moja anajua yeye. Dunia ya leo ya tehama inakuaje mtu unaamini upuuzi wa namna hii bila kujiridhisha? Ndio mnafunzwa hivyo ufipa?
Huyu wala hataki vyote kwa Pupa. Anajua anacho fanya na a nawajua wanaomlipaKazi ipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tutaona mengi mwaka huu.
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
Sent using Jamii Forums mobile app
OkMkuu wewe bado ni kijana mdogo sana kwenye siasa za Tanzania
View attachment 1504183
Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka
Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini huku kwingine sifahamu adhabu anayopaswa kuipata .

DuhHuyu wala hataki vyote kwa Pupa. Anajua anacho fanya na a nawajua wanaomlipa
View attachment 1504183
Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka
Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini huku kwingine sifahamu adhabu anayopaswa kuipata .
Huyo atakua mfuasi wa TLP, UDP, CUF, NCCR yaani huyo ni CCM BView attachment 1504183
Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka
Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini huku kwingine sifahamu adhabu anayopaswa kuipata .
Yaani huyu lazima akose kote.Akosa yote apita keba keba asijue la kufanya!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu sasa ndio ujasiriamali. Halafu wanakuaga na convincing power kubwa sana
Kama ni hivyo ni sawa..ila umesahau hoja muhimu kabisaMkuu, huyu mtia nia ingawa kwa jicho la haraka anaonekana kama ndumila kuwili wa kisiasa, lakini kimantiki anaonyesha kuna haja ya kuwa na wagombea huru wasiofungamana na vyama vya kisiasa.
Huyu ni mvurugani na mleta masiharaView attachment 1504183