Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Agombee huko huko rorya tarime hatuwezi kumpa ubunge mjaluo huyo. Hatutaki MURISYA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamchafua! Haiwezekani hiiView attachment 1504183
Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka
Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini huku kwingine sifahamu adhabu anayopaswa kuipata .
Tatzo la Rorya wanaogopa FLASH ndo maana kakimbilia na TarimeAgombee huko huko rorya tarime hatuwezi kumpa ubunge mjaluo huyo. Hatutaki MURISYA.
Mwanaccm agombee Chadema? Hivi hujui kuwa mtu muongo asili yake ni CCM? Huko ndio kwenye asili ya uongo, sio Mwenyekiti, KM, Chakubanga, Mangula, wasanii hadi vuvuzela nyie wote waongo tuu!Agombee kupitia cdm tu.
View attachment 1504183
Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka
Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini huku kwingine sifahamu adhabu anayopaswa kuipata .
CCM na ndio maana ni muongoSasa yeye ni mwanachama wa chama gani?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]CCM na ndio maana ni muongo
Wewe kilaza kwa nini unatetea makosa ya wazi kabisa?Umeishiwa uongo sasa unarukia kusahihisha leo buku 7 utaisikia
Hivi kuna watu waongo kuzidi wapinzani dunia hii? Wewe tu ile taarifa ya Tz kuipigia kura Djibouti si ulilazimisha watu waiamini humu. Muongo wa kutupwa wewe plus huyo mgombea wote kundi moja!Mwanaccm agombee Chadema? Hivi hujui kuwa mtu muongo asili yake ni CCM? Huko ndio kwenye asili ya uongo, sio Mwenyekiti, KM, Chakubanga, Mangula, wasanii hadi vuvuzela nyie wote waongo tuu!
View attachment 1504183
Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka
Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini huku kwingine sifahamu adhabu anayopaswa kuipata .
Sijamsikia mwana masumbwi Mada Maugo aka Mbunge wa Rorya, nadhani atakuwa miongoni mwao.Mara kuna matapeli sana.
Rorya watia nia ya ubunge wako 60 kwa CCM pekee!
Anaweza kuwa mwanachama wa vyama vyote kule alikotia nia. Hivi kuna sheria inayomzuia mtu kuwa mwanachama wa vyama zaidi ya kimoja? Tuanzie hapo. Ni muhimu kuanzia hapo kwa sababu huyu mtia nia ni mwanasheria labda amejihami kwenye eneo hilo!Sasa yeye ni mwanachama wa chama gani?