TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 9,748 Reaction score 26,238 Jul 14, 2020 #121 Hiyo haina shida kwenye kutia nia na kuchukua fomu. Ila kwenye kupigiwa kura baada ya kupitishwa na chama italeta shida.
Hiyo haina shida kwenye kutia nia na kuchukua fomu. Ila kwenye kupigiwa kura baada ya kupitishwa na chama italeta shida.
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Jul 18, 2020 #122 Anatesti zali
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Jul 19, 2020 #123 Maendeleo
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Jul 19, 2020 #124 Jamaa ni mwanasheria ameamua kutambaa na chaki tu 🤣🤣🤣
ulaya12 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2017 Posts 834 Reaction score 907 Jul 19, 2020 #125 darubin ya mbao said: Huyu hafai kanisani wala msikitini, kwote atafyekwa Click to expand... Twanga kote kote[emoji16][emoji16]
darubin ya mbao said: Huyu hafai kanisani wala msikitini, kwote atafyekwa Click to expand... Twanga kote kote[emoji16][emoji16]
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,125 Reaction score 7,373 Jul 19, 2020 #126 astrologist said: Naona hii methali aliitafasri hivyo "Don't put all your eggs in one busket" Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli..maana wachaga wanasema fisi mwenye milango miwili hakamatiki
astrologist said: Naona hii methali aliitafasri hivyo "Don't put all your eggs in one busket" Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli..maana wachaga wanasema fisi mwenye milango miwili hakamatiki
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Jul 19, 2020 #127 Anatengeneza CV kotekote
I IPECACUANHA JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 3,226 Reaction score 1,919 Jul 19, 2020 #128 Naona ametia nia kwa ajili ya 2025 maana atakua amejipatia umaarufu bila gharama
Extra Limo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 210 Reaction score 354 Jul 19, 2020 #129 Wakamaria wanakwambia both team score.