Uchaguzi 2020 Utapeli: Mgombea Ubunge atia nia kugombea majimbo tofauti , ni Rorya na Tarime Mjini , kila jimbo na Chama chake

Uchaguzi 2020 Utapeli: Mgombea Ubunge atia nia kugombea majimbo tofauti , ni Rorya na Tarime Mjini , kila jimbo na Chama chake

Hiyo haina shida kwenye kutia nia na kuchukua fomu. Ila kwenye kupigiwa kura baada ya kupitishwa na chama italeta shida.
 
Naona ametia nia kwa ajili ya 2025 maana atakua amejipatia umaarufu bila gharama
 
Back
Top Bottom