jupiter001
Member
- May 25, 2023
- 44
- 72
Nimesoma Report ya TCRA Nimeona uzembe mkubwa sana unafanywa na serikali za maeneo ya Rukwa na Morogoro, Kwa karibu kila report yao TCRA , mikoa inayoongoza kwa Utapeli ni Rukwa na Morogoro
Kuna nini maeneo haya?
1.Wananchi wake hawana elimu nzuri ndio maana wanatapeliwa kirahisi?
2.Vyombo vya ulinzi na usalama maeneo hayo wamekua wazembe kukamata matapeli?
3.Polisi vitengo vya cyber maeneo hayo wanashirikiana na matapeli?
4.Mkampuni ya simu maeneo hayo hasa mawakala wao wanashirikiana na wezi wa mitandaoni?
5. Mamlaka za uzuiaji wa matapeli maeneo hayo hazifanyi kazi zake ?
Serikali tunataka mjibu ,watu wetu wanaibiwa sana Morogoro na Rukwa