Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Media uangalia hitaji la soko,soko la tza linalipa kwa mambo ya kijingaSasa wanakifundisha nn hiki kizazi tena kwenye media???
Kama Wana maslai naoKwamba serikali imeshindwa kuingilia kati
Sawa mkuu mm sijawahi cheza ila inaleta kero maana wengine tumeokoka kusikia watu wakitapeliwa inatuuma
Wewe jamaa huwezagi kumjibu mtu kwa hoja bila kumtukuna??Hasira zako za Kucheza mara Elfu Mbili na mpaka sasa hujaambulia chochote usizilete katika hizi Media ambazo zinachezesha huu Mchezo Kihalali kabisa ( kwa ruhusa ya Gaming Board na Serikali ) huku Washindi nao wakipatikana kwa Haki pia.
Sasa kama una Nuksi zilizokujaa kutoka katika Visigino vyako hadi katika Kope zako za Macho yako hayo Makubwa uliyonayo kama Kalmati za Vingunguti ulitegemea nawe Ushinde kweli?
Kwani Umelazimishwa Kuucheza?
heee bila tusi kidogo maandishi yako hayakakamalika [emoji38][emoji38][emoji38]Hasira zako za Kucheza mara Elfu Mbili na mpaka sasa hujaambulia chochote usizilete katika hizi Media ambazo zinachezesha huu Mchezo Kihalali kabisa ( kwa ruhusa ya Gaming Board na Serikali ) huku Washindi nao wakipatikana kwa Haki pia.
Sasa kama una Nuksi zilizokujaa kutoka katika Visigino vyako hadi katika Kope zako za Macho yako hayo Makubwa uliyonayo kama Kalmati za Vingunguti ulitegemea nawe Ushinde kweli?
Kwani Umelazimishwa Kuucheza?
Action.Tukiachana kulalamika tunafanyaje
Huko utaambiwa umchangie bikira maria au madrasa kote wizi mtupuAfadhali turudi kwenye radio za dini zetu mfano sisi waislam kuna radio Kheri, Radio Imaan, kwa wale wa kanda kuanzia Kibamba hadi Kibaha kuna Radio moja inaitwa Mum ya Morogoro. Zote hizo unapata taarifa na hakuna kubeti