Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
- Thread starter
- #21
Kwamba mimiiiii DahWatu wana vibweka mchanganyiko na vimbwanga.😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mimiiiii DahWatu wana vibweka mchanganyiko na vimbwanga.😂
Anakuchangamsha huyo "ze mau"!Take it easy!Kwamba mimiiiii Dah
Imeletwa na 'custom'.Hii habari imeletwa na ME au KE?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mambo ndo hayaa... Ni haki yenu wanaume wa Dar kupakwa mafuta na kuliwa...
nilifikiri Uzi umeandikwa na mdada kumbe Bobrisk.
Cha ajabu Akili kubwa ina_comment kwenye Uzi wa wenye akili ndogo.Akili kubwa huongelea maendeleo,
Akili za kawaida huongelea matukio,
Akili mbovu huongelea watu.
Hakuna "comment" hapo, kuna darsa hapo.Cha ajabu Akili kubwa ina_comment kwenye Uzi wa wenye akili ndogo.