Kuna Taasisi ya kidini ilikuwa inaitwa MAF ( Mission Aviation Fellowship) walikuwa na base Dodoma kwa hapa Tanzania, na walikuwa na ndege zao na marubani wao, walikuwa wanaenda sana Tunduru kueneza injili na kutoa huduma mbali mbali!, aisee kumbe walikuwa wanaiba madini huko na nyara zingine....