kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tunasikia vilio na malalamiko kuhusu wachungaji wenye kuwatapeli waumini wao na wasio waumini wao. Wenye kuamini miujiza ila utapeli huo wa kisasa zaidi mchungaji anatoa chupa ya maji na udongo ,wewe unampa pesa.
Ukirudi nyuma utapeli huu haukuanza leo ulianza kale wamisionari walipoingia kusambaza dini yao ya kizungu walikuwa wakitapeli kwa kutoa shanga na vitu mbali mbali kuwapumbaza babu zetu.
Wamisionari wakijitwalia madini mbali mbali na kwenda kuuza na kutajirisha na nchi zao na wao binafisi wakiwaacha babu zetu mafukara wa kutupwa na kuendelea kuwafumba macho mababu zetu .
Wajinga hawaishi kifupi utapeli uliletwa na wamisionari hapa ulimwenguni!