Utapeli Pari match bet

Utapeli Pari match bet

Sipati picha yale mamilioni ya Jackport- Sport Pesa (TZS 494,275,700) mtu anakuja kuyaotea, sijui watanza visingizio!

Halafu naona, kama umeamua kubeti inabidi hata laini ya simu iwe na taarifa zako sahihi. Maana unaweza kuwapiga mamilioni wanakwambia lete kitambulisho, halafu jina la usajili wa laini ni tofauti na kitambulisho! Wanasema siyo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi waliniuliza kila kitu na kila taarifa zangu zilikuwa sawa
Sipati picha yale mamilioni ya Jackport- Sport Pesa (TZS 494,275,700) mtu anakuja kuyaotea, sijui watanza visingizio!

Halafu naona, kama umeamua kubeti inabidi hata laini ya simu iwe na taarifa zako sahihi. Maana unaweza kuwapiga mamilioni wanakwambia lete kitambulisho, halafu jina la usajili wa laini ni tofauti na kitambulisho! Wanasema siyo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
statarea nimekuja, mpigania haki za wacheza kamari mkuu ndani ya siku mbili za kazi pesa yako utaipata ingia kwenye tovuti ya gaming board Tanzania chukua namba zao ni za bure wapigie wasipokupa msaada ni_PM niwafuate huwa wanahara
 
Nimeshawatafuta ndugu ninawiki sasa napiga hawapokei na hata email hawajibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom