robertjackline
Member
- Oct 14, 2013
- 52
- 25
- Thread starter
-
- #41
Deal man unataka ngapii?Kama vipi tuingie mkataba niifuatilie hela yako hadi uipate within a week then nitakula commission at the end? Deal or?
Sent using Jamii Forums mobile app
Cjapata tatizo nawengini mkaliKampuni gani nyingine zina utapeli kama huu wa parimatch tutemane nao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipati picha yale mamilioni ya Jackport- Sport Pesa (TZS 494,275,700) mtu anakuja kuyaotea, sijui watanza visingizio!
Halafu naona, kama umeamua kubeti inabidi hata laini ya simu iwe na taarifa zako sahihi. Maana unaweza kuwapiga mamilioni wanakwambia lete kitambulisho, halafu jina la usajili wa laini ni tofauti na kitambulisho! Wanasema siyo wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri nitakupa feedback soon, ngoja niangalie intensity ya kazi yako kwanza.
Poa mkaliSubiri nitakupa feedback soon, ngoja niangalie intensity ya kazi yako kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni gani nyingine zina utapeli kama huu wa parimatch tutemane nao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshawatafuta ndugu ninawiki sasa napiga hawapokei na hata email hawajibustatarea nimekuja, mpigania haki za wacheza kamari mkuu ndani ya siku mbili za kazi pesa yako utaipata ingia kwenye tovuti ya gaming board Tanzania chukua namba zao ni za bure wapigie wasipokupa msaada ni_PM niwafuate huwa wanahara
Hii Kazi niachie mimi nipambane nayo nitakupa mrejesho kesho. Relax and stay focused. Though tumebreach terms and conditions but I nitafanya kila linalowezekana tupate mzigo. Relax.Nimeshawatafuta ndugu ninawiki sasa napiga hawapokei na hata email hawajibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa nduguHii Kazi niachie mimi nipambane nayo nitakupa mrejesho kesho. Relax and stay focused. Though tumebreach terms and conditions but I nitafanya kila linalowezekana tupate mzigo. Relax.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti BASATA!Nenda na odds zako zilizokupa ushindi ukiwa na watu wa TRA pamoja na BASATA kamata wote na watakupa tu
Sent using Jamii Forums mobile app