na kwa watanzania walivyo dhahifu password ya tigo pesa ndio hiyo hiyo ya ATM zao so kuweni macho
Wataalamu wa software na kuingilia mitandao ya mifumo mbali mbali leo wameingilia mifumo ya tigo pesa so leo natoa taarifa kuwa wataotumia mtandao huu watakuwa wanahatarisha usalama wa amana zao kwa leo kwani hackers wanaweza kunasa mpaka password za account za watu
nadhani ngoja official notification kwani ni kawaida ya watanzania kutoamini mpaka tatizo lishindikane, hivi ninavyokwambia tayari tigo wanaendelea kukabiliana na tatizo hili na wameomba msaada wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu wa mifumo,
wewe kama huna imani tafuta wahusika wa TIGO waulize suala hili,
mpesa maan..pesa yako iko salama wakati wowote