Utapeli ulivyonirudisha Jamii Forums baada ya miaka 14

Af juzi wakakucheka na itel yako kumbe jamaa unapiga pesa zako kimya kimya ndivyo inavyo takiwa boss
Wanataka nimiliki sim ya milion niifanyie nn, itel yangu naipenda nikipiga picha mizigo yangu inatoa freshi wao wanunueni tu hizo sim zao za heshima wanasema tusipangiane
 
Snuff inahela sana watu hawajui tu Mimi nauza ugoro wa kimasai naagiza hapo Dodoma nikichanganya na maji ya mwarobaini natoa kitu konk wiki tu mzigo umeisha
makampuni ya snuff ya copenhagen na skoal wanawakilisha zaidi ya $1bn kwenye retail sale
 
Kuna muda naweza kuwa nafikilia je wakina active au wakina paw na moderate wote hivi hawawezi kuwa I'd kama zetu wakaanzisha nyuzi, Huwa nawaza sana kwakweli mambo haya ni magumu sana πŸ€”
Ikitokea ikawa hivyo, unafikiri mimi naweza kuwa moderator yupi?
 
makampuni ya snuff ya copenhagen na skoal wanawakilisha zaidi ya $1bn kwenye retail sale
Sahihi sipingi, ukitaka Kujua ugoro ni biashara isiyo na longolongo ww toa kitu kizuri mji mzima jina utakuwa maalufu pesa utapga sana
 
Tuache na my wetu LBL, nyie komaeni na mshahara wa mwisho wa mwezi sisi tunapiga pesa huku tumekaa. Siku hizi naingiza 20,000 kwa siku.
Alisikika bakubaku kichaa mmoja.

Kipo wapi sasa!
Sasa hivi wanaona aibu wanaongea kwa makundi makundi kama nyumbu wanaona aibu kama malaya. Kwenye magroup ya wasap wanajitetea kuwa viongozi wao wamesema kuna changamoto ndogo na BOT.
 
Naona umetaja baadhi ya IDs zako kule juu. Umeamua kujitaja taja tu na kuandika upupu
 
Mkuu; ulivosema taa nyekundu ikakuwakia kichwani, nikastaajabu. Kumbe wanadamu mna taa na hamsemi? Kwenye traffic, taa nyekundu huashiria kusimama. Huenda hii ikawa sababu ya waliotapeliwa kuwa na akili zilizosimama..😁😁(Natania)

Kimsingi... Huwezi kutenganisha Watanzania na kutapeliwa.. sijui tumerogwa? Ukiangalia hii aina ya utapeli imekuwa ikifanana na zingine kasoro majina. Ila mimtu bado ipo tu. Inasikitisha kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…