Utapeli ulivyonirudisha Jamii Forums baada ya miaka 14

Watu wanatapeli majobless wenzako😂 nimelia sana
Watu wanapambana, unaweza ukawa na shida ya kutatua jambo lako afu mtu akatumia hiyo shida yako kukutapeli... Yaani yeye kukuongezea shida juu ya shida sio shida kwake 😂
 
Fursa juu ya fursa😂
Mishe zinaendaje pande hizo
Watu wanapambana, unaweza ukawa na shida ya kutatua jambo lako afu mtu akatumia hiyo shida yako kukutapeli... Yaani yeye kukuongezea shida juu ya shida sio shida kwake 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…