Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #81
Mpigie umchane tu 🤣Mimi kuna mtu alinichambaa na hiyo LB nini sijui
Kumbe tayari🤣🤣🤣
Sijui nimpigie 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpigie umchane tu 🤣Mimi kuna mtu alinichambaa na hiyo LB nini sijui
Kumbe tayari🤣🤣🤣
Sijui nimpigie 🤣🤣🤣
Thanks, nashukuru Mungu COVID haikupita na mimi!Duuh,wengine tulishakusahau tulijua Covid 19 imeshapita na wewe anyway,welcome back,we are hia hia
Na bado wapo ambao wanawaamini hao viongozi wa WhatsApp, sijui huwa inakuwaje. Wanakua kama wamepumbazwa, akili hawana tena 😅Kwenye magroup ya wasap wanajitetea kuwa viongozi wao wamesema kuna changamoto ndogo na BOT.
Hongera sana,kwa maelekezo mengine ya kilichojiri huku wakati ulivyoikacha JF kwa kipindi chote hicho cha miaka 14 ukipenda uje kwa PM yangu kwa maongezi zaidi,hapa wanywanywa wengiThanks, nashukuru Mungu COVID haikupita na mimi!
Naona umetaja baadhi ya IDs zako kule juu. Umeamua kujitaja taja tu na kuandika upupu
Nimeulizwa sana kwenye nyuzi, ngoja leo niwasimulie.
Jan 16, 2025 alinipigia simu ndugu yangu mmoja akasema anataka tuonanae. Nikamkaribisha nyumbani, akaja na akaanza kunielezea shida yake. Kiufupi, alikuja kuniomba nimuazime pesa na atanirudishia baada ya wiki mbili. Nikamuuliza kulikoni? akanijibu, kuna fursa ambayo amekutana nayo ya LBL Tanzania. Yeye ameshatengeneza faida ya zaidi ya TZS 300,000 na sasa kuna special offer, akiweka milioni 4 atapata milioni moja ya faida ndani ya wiki mbili kwa hiyo atatoa milioni 5 na ushee.
Taa nyekundu ikawaka kichwani, nilikua sijawahi kusikia kuhusu hiyo kampuni ila kwa maelezo ya awali, nilijua tu ni Pyramid scheme. Akanionyesha group lao la WhatsApp ambalo wako watu 1,000 pamoja na kiongozi wao muwakilishi kutoka hiyo kampuni na app yao ya movie. Alivyoona natilia mashaka, akasema “bora hata nisingekuambia hiyo hela nataka kufanyia nini, maana ushaanza kuleta komplikesheni” Nikaignore hiyo kauli, nikamwambia nitamjibu jumatatu ngoja nimshirikishe Mr. (Wote mlio kwenye mahusiano mnajua hichi kisingizio kinavyotusevu kwenye upumbavu).
Alivyoondoka nikaendelea na utafiti wangu, nikagundua hao watu wa LBL ni matapeli. Kwa sababu sina mitandao ya kijamii, nikawa natafuta namna gani nitawaambia na watu wengine kuhusu hili janga. Ndiyo nikakumbuka kuna Jamii forums ya Maxence Melo , wakati najiunga 2011 nilikua binti mdogo na jamvi lilikua la moto sana kwa mambo ya kiasiasa. Sikuwahi kuthubutu kuchangia na baadaye maisha yalichanganya (watoto, kazi, familia etc.) sikukumbuka tena mambo ya JF wala mtandao wowote wa kijamii.
Nyuzi yangu ya kwanza kuandika ilikua Ijumaa Jan 17, 2025 na ilihusu utapeli wa hii kampuni na kuwaonya watu kutojiunga LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji. Pia nilimuonya huyo ndugu yangu na nikamwambia pesa ya kumuazima sina.
Japo lengo langu lilikua ni kuandika hii nyuzi ili kufikisha taarifa na kusign out after. Nilipoperuzi kidogo nilinogewa baada ya kukutana na nyuzi za mapishi za Mwachiluwi , nyuzi za siasa za Cute Wife , Waufukweni etc. nyuzi za picha za kushangaza za Mshana Jr , story za realMamy , Mallerina , Poor Brain , Eli Cohen , PSL god n.k bila kusahau replies za wanajamvi kama mzee Ushimen , Aaliyyah , Numbisa , ephen_ , Qashy Lilith , nakwede97 , Intelligent businessman na wengine wengi.
Asante kwa wote mnaoandika nyuzi za kufundisha, kutoa taarifa na kuburudisha.
Asanteni pia wote mnaochangia kwenye nyuzi zangu na mnaonichekesha kwenye replies kama Nomadix na wenzako.
Hakuna kipindi nimejifunza, nimefurahi na nimecheka kwa sauti mpaka nikaja kuulizwa kama niko sawa, kama baada ya kurudi JF last month. Haya tuliendeleze Jamvi 🫶!
Sawa, asante kwa kunikaribisha, nitakuja.Hongera sana,kwa maelekezo mengine ya kilichojiri huku wakati ulivyoikacha JF kwa kipindi chote hicho cha miaka 14 ukipenda uje kwa PM yangu kwa maongezi zaidi,hapa wanywanywa wengi
Nimejifunza mshangazi haya naomba na mimi 😡
Amina,karibu mnoo
Lbl ndo nini mkuu 😂
Hujui kumbe? Usijue tu ni kikundi Cha Majobless kinachotapeli watu 😂Lbl ndo nini mkuu 😂
Asante, nimekaribiaKaribu tena JamiiForums...
Watu wanatapeli majobless wenzako😂 nimelia sanaHujui kumbe? Usijue tu ni kikundi Cha Majobless kinachotapeli watu 😂
Kinachonishangaza unakuta mtu msomi lakini bado anashupaza shingo.Na bado wapo ambao wanawaamini hao viongozi wa WhatsApp, sijui huwa inakuwaje. Wanakua kama wamepumbazwa, akili hawana tena 😅
Watu wanapambana, unaweza ukawa na shida ya kutatua jambo lako afu mtu akatumia hiyo shida yako kukutapeli... Yaani yeye kukuongezea shida juu ya shida sio shida kwake 😂Watu wanatapeli majobless wenzako😂 nimelia sana
Watu wanapambana, unaweza ukawa na shida ya kutatua jambo lako afu mtu akatumia hiyo shida yako kukutapeli... Yaani yeye kukuongezea shida juu ya shida sio shida kwake 😂
Bado tunaendelea kumsihi Mungu kutufungulia milango ya mishe!Fursa juu ya fursa😂
Mishe zinaendaje pande hizo