UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

scammers ni wengi bongo coz watu wanataka fast money ...hakuna mkato kwenye mafanikio ndugu zangu work on your sector n focus in improving your self utafika ..hata kilimo kitakupa utajiri ni kujipanga ,kufocus, kupunguza un neccessary expenses , kuinvest more n more izo super cars utazinunua tu
 
umeonesha tatizo la high frequency trading HFT je suluhisho ni nini ili kuweza kufanya mambo yaende au ni kuacha kabisa kutrade.
 
Nenda ubungo plaza unaofisi ya forex na anapiga pesa tu kama kawa
Safi sana wajinga waendelee kupigwa hivyo hivyo mpk akili ikae sawa.

Uzuri mwl wao yule komando kipensi wa pale Jangid alishawafundisha hio style ukishapiga hela za watu 'rara mbere kwa mbere'.
 
umeonesha tatizo la high frequency trading HFT je suluhisho ni nini ili kuweza kufanya mambo yaende au ni kuacha kabisa kutrade.
Sijaonesha tatizo mkuu hapo nilikuwa ninamuonyesha kwamba institutions nyingi sasa hivi zina-invest kwenye computers na softwares ambazo wewe unatumia masaa kuangalia signals computer inaiona kwa sekunde na ku-act kwenye theluthi ya sekunde.., making it even a more competitive thing, pia lazima ujue signals sio kila kitu kuna mambo unpredictable yanaweza kutokea wakati wowote, hence mtu inabidi uwe aware na kuangalia news na kupata information za hapa na pale, karne hii ambayo Trump anaweza kutoa Tweet kuhusu Uturuki na kushusha pesa yao ni karne ya information at your fingertips anything can happen wakati wowote..

Point ya mimi kuja hapa ilikuwa ni kuelezea mambo matatu tu, sio kuwaambia watu waache au waendelee Trading (kuna watu Trading is in their DNA) kuna watu Trading ni mwanzo wa ugonjwa wa moyo na depression as well as emotional nightmare..., jambo ambalo recruiters huwa hawawaambii potential customers...

Mambo hayo ni
Moja: Forex Trading ni high risk unpredictable business

Mbili: Wauza vitabu na systems na learning systems kuhusu Trading wanauza Information hapo hakuna risk yoyote (kwahio hata wewe kama una following ya watu 100 nakushauri anza kutengeneza infomanuals na kuuza that is guaranteed cash no risk; na hii ni biashara ya recruiting (yaani kuvutia watu wajiunge) na ndio maana wengi wa hawa watu wana-live a high style na kula bata kwa sana (hio sio kutumbua pesa bali ni marketing na promotion) mtu huwezi kumwambia umfundishe kutengeneza mamilioni ya shilingi wakati wewe maisha yako ni ya elfu hamsini....

Tatu: Eneo la tatu ni wale wanaotumia Trading skills zao ku-invest pesa za watu, wao pia hawana Risk, wakishinda wanapata faida na more business since watu wanaona faida, wakishindwa kidogo hawapati faida wala hasara ni hasara ya mwenye pesa; wakishindwa sana hawapati hasara yoyote ya pesa labda tu kupoteza wateja kwamba jamaa sio.... (Na hii ndio incentive ya kutokushindwa,,)
 
Brother.

Kwenye forex mili or nano seconds doesn't matter.

What matters is trend.

Mfano, kama Gold ipo kwenye Weekly Support, dunia nzima inaona hivyo. Cha kufanya kila mtu atasuburi strategy yake imuambie nini.

Hata hizo algo zipo kwa retail traders wanaziita 'robots' zinakufanyia trading hata ukiwa umelala. So kuchungulia screen muda wote sio hoja tena.

Na wengine ni swing traders kama mimi. Naweka positions hata miezi miwili, inaweza pita hata siku 3 sijaangalia screen. So it's all about your strategy.
 
Na pia usidhani hizo algo unazofikiria hao HFT zipo accurate. It's estimated only 30% ya traders wamatumia Algo na zinawapiga vilevile.

Hata hizo Hedge Funds zinapata hasara kubwa tu sema risk management ndo issue.
 
hahaha nimekumbuka vijana wa forever living mjini..wanajitutumua kama chatu kwamba wanaishi Maisha high end na kuendesha magari mazuri ya gharama…. kumbe ni porojo tuu.

Mzee mjini ukiitiwa fursa..be careful inawezekana fursa ni wewe mwenyewe!
 
Na pia usidhani hizo algo unazofikiria hao HFT zipo accurate. It's estimated only 30% ya traders wamatumia Algo na zinawapiga vilevile.

Hata hizo Hedge Funds zinapata hasara kubwa tu sema risk management ndo issue.
Hapa naona tunazunguka tu mkuu nikuulize swali hizo strategy zako zinaweza kuwa computerized na ku-detect chochote kile ambacho wewe unakiona ila yenyewe ikakifanya kwa dakika chache na ku-capitalize ? yaani kuuza au kununua kwa haraka kabla trend haijaswing the other way ? (na hapa point kubwa kuna risk involved kupata au kukosa no matter wewe ni mtu au mashine) kabla ya yote lazima tujue kwanini forex inaweza ikaswing...; na sababu ni market psychology, political developments na uchumi wa nchi..., kwahio kuna risk involved..

Muuza vitabu, systems au mtoa darasa yeye hana risk involved..

Na Hedge maana yake tu ni kwamba "a way of protecting oneself against financial loss or other adverse circumstances" kwahio mwisho wa siku mtu unakuwa umejiprotect na kama unamanage pesa za watu Hedge Fund ikipata hasara mwisho wa siku ni other peoples money sababu in essence mkataba ni kukuzalishia mgawane faida sio mgawane hasara..., (ndio maana issue ya hedge funds kuingia hapa ni baada ya kutoa mfano wa watu wanaotrade na other peoples money with zero risk kwao, nikatoa mfano how hedge funds make their money)..., na Hasara kubwa ya Hedge Funds ni kupoteza business kama hakuna returns kwa wateja mwisho wa siku watakukimbia thats why they always hedge their portifolio kupunguza risks
 
Boss hujui unachokiongelea. Alafu nimegundua kitu kwenye hii thread traders wanaopiga hela hawafiki watano. Wengi wamejaribu wamelose wameacha wamebaki kuongelea vitu wasivyovijua na wengine hata kuclick tu sell or buy hawajawahi.
 
Wanapigwa unakuta so lazima waseme
Basi wanatakiwa waache kuiongelea vibaya, hiko wanachofanya ni kuonesha how weak they are, na wanachoshindwa kuelewa ni kwamba the structural architecture of the stock market system was designed for all retail traders to lose their money within 90 days their main objective ni kuchukua hela zako si kukupa hela ila ni mtu mwenyewe na kile alichojifunza ndo kinaweza kumbeba akafanikiwa. It takes time,commitment, passion and patience to succeed in this industry kwikwi ni watu wanakurupuka tu. Na kupigwa ni lazima, hakuna biashara ambayo tangu unaanza mpaka mwisho wewe ni faida tu (kama ipo tupeane michongo) njia pekee ya kupambana na hili ni risk management na risk to reward ration ambayo ipo kwa favour yako.
 
Boss hujui unachokiongelea. Alafu nimegundua kitu kwenye hii thread traders wanaopiga hela hawafiki watano. Wengi wamejaribu wamelose wameacha wamebaki kuongelea vitu wasivyovijua na wengine hata kuclick tu sell or buy hawajawahi.
Nimetoka kuongea mimi akaniona sijielewi...

Yaani kijuujuu ukisoma maelezo yake anaonekana unaongea points ila ukitulia walau dakika 2 kupitia alichoandika kwa umakini unakuka kugundua ni pointless...
 
Weeewe msenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…