UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

Lies. Jibu pips ngapi sio tzs ngapi.
Take it easy mkuu, hupaswi kuuliza kwa kumtilia mashaka mtu kama bado hujatumia njia ya kidiplomasia, ni vyema ungemwambia " mkuu unapiga pips ngap kwa siku, tupia na kapicha mkuu pips ulizopiga hadi sasa kama hutamind😉😉"
 
Duh kweli hapa naona ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa...,

Hapo katika makundi matatu; niliyoweka, Trader; Information Seller; na Money Funds Manager nimetoa mifano mitatu tu (wote wapo kwenye industry moja) ambayo hao wawili hawana risk ya kupoteza funds zao.., sasa kama tunataka kusema risks zote zinalingana naona hapa tunapotezeana muda...
Jamaa acha uongo wewe ...

Hakuna biashara isiyokuwa na multiple areas... Hata biashara ya Kuku kuna wanauza dawa za Kuku, wauza chakula cha Kuku , wauza Nyama ya Kuku , wauza utumbo wa Kuku , wauza miguu ya Kuku , wauza vichaa vya Kuku n.k .. Ila Kuku huyo huyo mmoja ...

Same to forex kuna retail traders , kuna information sellers , kuna software makers na account managers ili mradi kila mtu anakula kwa urefu wa kwamba yake ...
Haimaanishi uwepo wa mgawanyo huo unaashiria risk kuwa kubwa au mdogo ... Unaposema software makers hawana risk kubwa kwasababu wanauza programs .. Wewe ni Muongo Tena Mkubwa..

Sikia hii metaquote ambao ndio watengenezaji wa Metatrader4 na 5 ... Unajua baada ya kutengeneza meta trader 5 brokers wengi wamegoma kuhamia huko kwenye mt5 kwasababu gani?? Na kwanini wanaendelea kutumia mt4 ... Ingia google usome ..
 
Unaposema risky business sio ya kushauriwa ,ni biashara ipi sio ya risk ???

Hivi unajua risky ya biashara ya usafishaji wa abiria kwa ndege na watu wanashauriwa na kufanya ....

Hakuna biashara yenye risk kama hiyo ila watu wanafanya... Hivi unajua ile dege la air Ethiopia limeisababishia hasara ngapi Boeing??? Ina maana Boeing wasitishe biashara ?

Hakuna biashara usio risky na risk ya biashara haikufanyi kuacha kumshauri mtu asifanye ... Huo ni uongo jamaa yangu ...

Narudia tena Forex like any other business INA faida na hasara .. Jitahidi uwe upande wa faida ..
Mkuu tatizo lako narudia tena hujui fundamentals za kitu unachokiongea
Boeing biashara yao ni kitu gani ? Na kusafirisha abiria ni biashara ya aina gani?
Moja hata kama kampuni ya ndege ikiwa haipati faida bado kuna umuhimu wa kutoa service ya usafirishaji hence kuna kampuni zinaweza kulipwa subsidy na nchi husika ili ziendelee kutoa huduma hata kama sio money making..

Boeing ni kampuni ya kutengeneza ndege worldwide katika innovation wanaweza wakafanya makosa na hapo kitakachowatokea ni either kupoteza uaminifu kwa wateja na kupunguza wateja pia na kulimwa faini ya makosa hayo (mara nyingi hizo fine ni within their capability sababu mwisho wa siku Kampuni kama hio kufa ni pigo kwa jamii inayoizungaka kampuni mpaka uchumi wa nchi

Risk hazipo sawa huwezi kusema mtegua mabomu ana risk sawa na mtembea kwa miguu sababu wote wanaweza kufa huyu kwa kugongwa na gari na huyu kwa kulipuliwa..., ndio maana nasema tuongelee fundamentals na issues nimetoa mifano hapo; muuza systems na vitabu na kufundisha watu; money manager wa funds za watu, na trader anayetumia his own money kama unaona hao wote wana risk sawa, naona hapa napoteza nguvu zangu bure...

nakuacha na hii qoute ya Obama......
"You have to believe in facts," said Mr Obama, "without facts there is no basis for cooperation.
"If I say this is a podium and you say this is an elephant, it is going to be hard for us to cooperate."
 
Great, ka vp tuwekee na vipicha vya kishkaji tuone unavyobangua forex

January ilikuaje kwako kwenye forex?🙂🙂
Hahahaha labda unanijua Leo , wewe sio wa kwanza kuuliza hili swali ... Wameshauliza wengi hayo maswali tukaweka mpaka account zetu za mt4...

Tafuta nyuzi za forex humu utaona hizo evidence .

About January , Nilikuwa Japanese Yen Crush .. Pesa ya mjapani ilidondoka .. Ila imesharudi na kupita ilipokuwa tangu mwezi March .. So for swinger haikuwa na impact yoyote ...

NB: Mimi mwezi wa 12 huwa sitrade sana maana nchi nyingi huwa financial institutions nyingi zinakuwa Likizo hivyo soko linakuwa kwenye slow movement so hata mwezi January nilikuwa sokoni kwa kiwango kidogo sana
 
Sasa mkuu na wewe unanipotezea muda wangu..., hivi faida ya mimi kukujua wewe unafanya nini au mimi ni nani na nimefanya nini na wapi inaingiliana vipi na kinachofanyika au ukweli unaosemwa ?, Kwahio George Solos akiongea pumba sababu ni Trader mkubwa tuchukulie alichokiongea au alichokifanya..., Haya mambo ya kutegemea mtu sababu kafanya nini basi ndio anachokwambia ni sahihi ndio inapelekea wengi kuumia kwenye hizi recruiting businesses , Mimi nilidhani hapa tunaongelea Forex..., kumbe ni uzi wa kujuana ?
mkuu kwa uelewa wangu mtu ambaye amejihusisha na biashara husika ana uwanja mzuri zaidi wa kusema na kuchambua uhalisia wa biashara yenyewe,ugumu wake , na njia gani ambazo unaweza kusurive kwenye biashara husika endapo utazifuata ipasavyo.
Sasa mkuu labda huenda wengine wanajua tu kwamaba forex ina risk kubwa sana lakini hajawahi hata kubonya kitufe cha sell ili kujua mamabo yanakuaje ukiwa kwenye position na hela yako husika .
bila shaka mtu kama hajawahi fanya forex sidhani kama anaweza akatoa ushuhuda yakinifu kwa kitu amabcho anaishia kusoma tu mistrari kadhaa google kwamba it too risk
 
Aisee nimeenda hapo Instagram hali ya huyu jamaa magnetics sio nzuri maana ofisi kafunga, simu kazima, dar hayupo, feedback yake ni watu wasubiri atawalipa, simcheki jamaa lakini nimeamini forex Ni kamari nzuri tu tena kamari chafu haina long term earnings, duuuh hali ni tete kwa walio kopa na kuuza mali zao, eti wanajiita forex guru, forex guru kwa kuchezea pesa aiseeee 😂😂😂😅😅😅
 
Mkuu tatizo lako narudia tena hujui fundamentals za kitu unachokiongea
Boeing biashara yao ni kitu gani ? Na kusafirisha abiria ni biashara ya aina gani?
Moja hata kama kampuni ya ndege ikiwa haipati faida bado kuna umuhimu wa kutoa service ya usafirishaji hence kuna kampuni zinaweza kulipwa subsidy na nchi husika ili ziendelee kutoa huduma hata kama sio money making..

Boeing ni kampuni ya kutengeneza ndege worldwide katika innovation wanaweza wakafanya makosa na hapo kitakachowatokea ni either kupoteza uaminifu kwa wateja na kupunguza wateja pia na kulimwa faini ya makosa hayo (mara nyingi hizo fine ni within their capability sababu mwisho wa siku Kampuni kama hio kufa ni pigo kwa jamii inayoizungaka kampuni mpaka uchumi wa nchi

Risk hazipo sawa huwezi kusema mtegua mabomu ana risk sawa na mtembea kwa miguu sababu wote wanaweza kufa huyu kwa kugongwa na gari na huyu kwa kulipuliwa..., ndio maana nasema tuongelee fundamentals na issues nimetoa mifano hapo; muuza systems na vitabu na kufundisha watu; money manager wa funds za watu, na trader anayetumia his own money kama unaona hao wote wana risk sawa, naona hapa napoteza nguvu zangu bure...

nakuacha na hii qoute ya Obama......
"You have to believe in facts," said Mr Obama, "without facts there is no basis for cooperation.
"If I say this is a podium and you say this is an elephant, it is going to be hard for us to cooperate."
Chicken Without Head
 
Jamaa acha uongo wewe ...

Hakuna biashara isiyokuwa na multiple areas... Hata biashara ya Kuku kuna wanauza dawa za Kuku, wauza chakula cha Kuku , wauza Nyama ya Kuku , wauza utumbo wa Kuku , wauza miguu ya Kuku , wauza vichaa vya Kuku n.k .. Ila Kuku huyo huyo mmoja ...

Same to forex kuna retail traders , kuna information sellers , kuna software makers na account managers ili mradi kila mtu anakula kwa urefu wa kwamba yake ...
Haimaanishi uwepo wa mgawanyo huo unaashiria risk kuwa kubwa au mdogo ... Unaposema software makers hawana risk kubwa kwasababu wanauza programs .. Wewe ni Muongo Tena Mkubwa..

Sikia hii metaquote ambao ndio watengenezaji wa Metatrader4 na 5 ... Unajua baada ya kutengeneza meta trader 5 brokers wengi wamegoma kuhamia huko kwenye mt5 kwasababu gani?? Na kwanini wanaendelea kutumia mt4 ... Ingia google usome ..
Mkuu narudia tena fundamentals.., fundamentals...., fundamentals elewa ninachokiongea..

Leo wewe unafanya trading unayo system yako na mbinu zako unazotumia..., unaamua kuandika kitabu jinsi unavyopata pesa (na kwenye hii dunia ya infoproducts hata huitaji kwenda kwa publisher, unaweka kwenye pdf au dvd unasambaza) unatafuta darasa unafundisha watu jinsi unavyofanya na kupiga pesa ili wawe wengine nao wafanye kama wewe..., kwa akili yako unaona risky hapo zipo sawa ? naposema wauza systems na wauza software unaona ni watu sawa..., wewe ukiwa na system yako unaweza usiwe programmer ukawafuata programmers wakakufanyia kazi ukawapa chao.., na wewe mpaka kuuza hio system ni kwamba ina returns nzuri ili watu wanunue..

Issue hapa kubwa mimi nikiongelea maji wewe unaleta story za uji..., ingawa vyote ni vimiminika ila sio sawa....
 
mkuu kwa uelewa wangu mtu ambaye amejihusisha na biashara husika ana uwanja mzuri zaidi wa kusema na kuchambua uhalisia wa biashara yenyewe,ugumu wake , na njia gani ambazo unaweza kusurive kwenye biashara husika endapo utazifuata ipasavyo.
Sasa mkuu labda huenda wengine wanajua tu kwamaba forex ina risk kubwa sana lakini hajawahi hata kubonya kitufe cha sell ili kujua mamabo yanakuaje ukiwa kwenye position na hela yako husika .
bila shaka mtu kama hajawahi fanya forex sidhani kama anaweza akatoa ushuhuda yakinifu kwa kitu amabcho anaishia kusoma tu mistrari kadhaa google kwamba it too risk
risk maana yake nini ? Sio lazima utembee kwenye moto ili kujua madhara yake....., na kulinganisha risks moja na nyingine zinapimwa kwa percentage..., na percentage hizo zinategemea kupata na kupoteza.., hata hapa ungekuwa unaongea na Gwiji duniani wa Forex na akasema haina risky haibadilishi riskness involved; na watu kupata au kukosa kwenye biashara husika hakubadilishi uhatari au unafuu wa biashara..., nyumba mbili moja imejengwa kwenye mabonde ambayo muda wowote inaweza kusombwa na mafuriko huwezi ukasema ni sawa na iliyopo mlimani sababu na yenyewe inaweza ikapigwa radi.. Hata ukienda leo kwa financial advisor wako atakupa list ya low risk investments....(na zinaitwa low sababu kuna medium na high risk)
 
Mhh sijawaelewa wanaoendelea kucheza huo mchezo ni kukosa maarifa ya kufanya kazi zingine mpaka wanaamua kumchangia mtu mmoja tuu...

Yani pamoja na exposure yako ya nje ya Bongo kumbe bado uko 'dark minded' kiasi hiki.
Sijutegemea uandike comment ya kishamba kama hii.
Unaonekana mtu ambae umeishia primary, hujui kusoma na kuandika lugha ya kiingereza.
Nimekudharau sana.
 
ila angalau umejifunza kuna watu mpk leo pamoja & ushahidi wote huu bado hawataki kuelewa

Acha ushamba wewe. Vijana wanaendesha maisha yao kupitia forex mie mmojawapo.
Kalabaho na ujinga wako.
 
Yule dogo mfupi.haha pole sana ..namuangaliaga tu na inspiration zake feki feki tu instagram ..anawapiga halafu anaenda kuzitumbua hela kwenye mahoteli ya nyota tano

We Fala acha kubwatuka umechanganya majina.
Kuna "Sandile Shezi" na "Andile Mayisela"
Hapo jamaa alimuongelea "Andile"
Acha ujinga.
 
Acha ushamba wewe. Vijana wanaendesha maisha yao kupitia forex mie mmojawapo.
Kalabaho na ujinga wako.
Mwanaume Wa Dar huyo [emoji1] [emoji1]

Akimaliza kupitia umbea wa mange kimambi anakimbilia chips yai .. Jioni anaenda kukaa sofani kutazama sultani na kwenda kusimuliana movie ya black Panther kijiweni ..

Mpuuze tu[emoji1]
 
Hapa naona tunazunguka tu mkuu nikuulize swali hizo strategy zako zinaweza kuwa computerized na ku-detect chochote kile ambacho wewe unakiona ila yenyewe ikakifanya kwa dakika chache na ku-capitalize ? yaani kuuza au kununua kwa haraka kabla trend haijaswing the other way ? (na hapa point kubwa kuna risk involved kupata au kukosa no matter wewe ni mtu au mashine) kabla ya yote lazima tujue kwanini forex inaweza ikaswing...; na sababu ni market psychology, political developments na uchumi wa nchi..., kwahio kuna risk involved..

Muuza vitabu, systems au mtoa darasa yeye hana risk involved..

Na Hedge maana yake tu ni kwamba "a way of protecting oneself against financial loss or other adverse circumstances" kwahio mwisho wa siku mtu unakuwa umejiprotect na kama unamanage pesa za watu Hedge Fund ikipata hasara mwisho wa siku ni other peoples money sababu in essence mkataba ni kukuzalishia mgawane faida sio mgawane hasara..., (ndio maana issue ya hedge funds kuingia hapa ni baada ya kutoa mfano wa watu wanaotrade na other peoples money with zero risk kwao, nikatoa mfano how hedge funds make their money)..., na Hasara kubwa ya Hedge Funds ni kupoteza business kama hakuna returns kwa wateja mwisho wa siku watakukimbia thats why they always hedge their portifolio kupunguza risks
Forex Trading is all about Fundamentals, Tachnical and Sentiments.

Algo zinatambua Technical side ila haziwezi predict fundamentals or sentiments.

Algo haziwezi predict the direction of news and how people predict the market. There is no human factor in Algo because they are fed with massive amount of data ambazo hazijawa categorized kama zimekuwa derived from fundamentals or sentiments.

Kuuza vitabu, signals au trainings, IB links is all about side incomes japo baadhi wanakomaa nazo kama main sources of income. Na nina wafahamu watu wengi tu wanafanya hivyo vitu na ni fulltime traders and they are very successfull. Wanafanya because they feel like helping people and their groups is very small and tight. Huwezi kuta wanatangaza kwa watu unless someone recommends to them.

Hedge funds is all about someone creating a pool of funds every investor can access. And those funds are channelled towards specific objectives. There are thousands of financial instruments to be invested in. There are several portifolios any investor can choose to invest. Mfano, Vanguard wana mamia ya portifolio yenye strategy tofauti ambapo wewe kama investor unachagua unayoona inafaa strategy yako.

Very little is channelled towards trading, ukiona Hedge Fund imeanguka, it's either 1. Watu wametoa funds zao, 2. Investments walizofanya zimeincur lots of loss ambayo hata wewe ukiinvest solo ungepata hasara.
 
risk maana yake nini ? Sio lazima utembee kwenye moto ili kujua madhara yake....., na kulinganisha risks moja na nyingine zinapimwa kwa percentage..., na percentage hizo zinategemea kupata na kupoteza.., hata hapa ungekuwa unaongea na Gwiji duniani wa Forex na akasema haina risky haibadilishi riskness involved; na watu kupata au kukosa kwenye biashara husika hakubadilishi uhatari au unafuu wa biashara..., nyumba mbili moja imejengwa kwenye mabonde ambayo muda wowote inaweza kusombwa na mafuriko huwezi ukasema ni sawa na iliyopo mlimani sababu na yenyewe inaweza ikapigwa radi.. Hata ukienda leo kwa financial advisor wako atakupa list ya low risk investments....(na zinaitwa low sababu kuna medium na high risk)
yes kabisa risk yake ni kubwa sana endapo utatrade bila kuzingatia kiasi gani utapoteza kwa kila trade unapoingia kwenye position. mhimu risk management izangatiwe good entry na emotional uwe balance bila shaka mambo yaweza kusonga taratibu
 
Boss hujui unachokiongelea. Alafu nimegundua kitu kwenye hii thread traders wanaopiga hela hawafiki watano. Wengi wamejaribu wamelose wameacha wamebaki kuongelea vitu wasivyovijua na wengine hata kuclick tu sell or buy hawajawahi.
So many loosers, muchknows and dunderheads in this thread.

Kila kitu kwao ni utapeli kwasababu hawafanyi.

Wakaeendeshe bodaboda wapate hizo hela mbazo sio za kitapeli.
 
Hizi Forex wengine tulijiunga zamani sana, kabla bongo hazijapigiwa chapuo kubwa na akina ONTARIO na Davion Delmonte Jr. Tukatoa onyo kwamba hizi biashara si utajiri uliowazi kama wengi wanavyodhani. Ni biashara ambayo ni bora hata kilimo cha kutegemea mvua kinaweza kukulipa kidogo, ila ukawa na hakika. Lakini Forex kupoteza, hasa usipokuwa mzoefu ni kawaida sana. Na wengi walikuwa wanapewa matumaini yasiyo ya kweli. Na wengi pia wamevutwa na picha za magari ambazo unaweza piga popote pale.

Hahahaha labda unanijua Leo , wewe sio wa kwanza kuuliza hili swali ... Wameshauliza wengi hayo maswali tukaweka mpaka account zetu za mt4...

Tafuta nyuzi za forex humu utaona hizo evidence .

About January , Nilikuwa Japanese Yen Crush .. Pesa ya mjapani ilidondoka .. Ila imesharudi na kupita ilipokuwa tangu mwezi March .. So for swinger haikuwa na impact yoyote ...

NB: Mimi mwezi wa 12 huwa sitrade sana maana nchi nyingi huwa financial institutions nyingi zinakuwa Likizo hivyo soko linakuwa kwenye slow movement so hata mwezi January nilikuwa sokoni kwa kiwango kidogo sana
 
huyu jamaa alisababishaga nikajoin forex but niliweka $10 nikapata profit ya $7 nikasepa mpaka leo

Sasa kama ulipata 70% as profit ilikuaje ukasepa.
Umeona sasa wabongo tulivyo mazwazwa!!!!
Tunapata opportunity ya kutengeneza dcent income tunaikimbia tena.

What the F*CK is wrong with black brains!
 
Back
Top Bottom