Jamaa acha uongo wewe ...
Hakuna biashara isiyokuwa na multiple areas... Hata biashara ya Kuku kuna wanauza dawa za Kuku, wauza chakula cha Kuku , wauza Nyama ya Kuku , wauza utumbo wa Kuku , wauza miguu ya Kuku , wauza vichaa vya Kuku n.k .. Ila Kuku huyo huyo mmoja ...
Same to forex kuna retail traders , kuna information sellers , kuna software makers na account managers ili mradi kila mtu anakula kwa urefu wa kwamba yake ...
Haimaanishi uwepo wa mgawanyo huo unaashiria risk kuwa kubwa au mdogo ... Unaposema software makers hawana risk kubwa kwasababu wanauza programs .. Wewe ni Muongo Tena Mkubwa..
Sikia hii metaquote ambao ndio watengenezaji wa Metatrader4 na 5 ... Unajua baada ya kutengeneza meta trader 5 brokers wengi wamegoma kuhamia huko kwenye mt5 kwasababu gani?? Na kwanini wanaendelea kutumia mt4 ... Ingia google usome ..