UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

bila shaka hela sote zipo kwenye soko huenda wanafundisha bure ila broker wanakudirect Wa kumtumia ili wapate baadhi ya makato
Ndio hapo utapewa IB link huko hakuna cha bure aisee hizo IB link wewe utapandishiwa spread .

Mwenzio atapewa hela aisee ogopa sana vya bure

Elimu ya Forex iko vitabuni kama huwezi soma vitabu achana na forex kabisa nashauri .

Kama mtu anataka kukufundisha bure basi akupe uhuru wa kuchagua broker sio kwa broker wake yeye
 
hapo umenena mkuu kabisa ukitaka forex kuijua soma mwenyew binafsi vitabu vipo kibao. YouTube pia inasaidia sana traders library telegram unapata vitabu kibao
 
IMG_20190513_202637_642.jpeg
 
View attachment 1097485
huko telegram si ndo mnaweka na VIP signal za kulipia ili kupiga za wengine wakati hela zipo kwenye market
 
Naona Mdau anatumia nguvu kubwa kujitangaza ili wadau wajitokeze wakamtengenezee hela hahaha
 
Sijuii kwa kwelii ila sijawai kuona jamaa akisema mtu ku join sijuii VIP.

Kwani akiweka VIP si yeye wewe kazi yako ni ipi.

Kama wewe ni trade mzuri huna haja ya ku judge
😀😀😀
 
kabisa kabisa
Sasa ukiwa kama ni trader wa kuangalia ma group wakati kila kitu kiko youtube una fail.

Yaani mda unao tumia ku comment ungekuta saizi uko sokoni una nunua xxx/jpy pairs.

Ma group ya telegram ni chaguo ku join au kuachaa.

Sio kila group lina VIP mengine yako kwa ajili ya ku share walicho nachoo basii
 
ok
Screenshot_2019-05-14-17-11-48.jpg
 
Back
Top Bottom