financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mbona tunatafuta pesa zetu hata sahivi, ni wachache sana wanapiga vizinga now, na wanazidi kupunguašIkiwa hilo litatokea basi rasmi dunia itakua ni sehemu salama zaidi kuishi, lakini hilo likitokea hata shetani atashangaa