Poleni sana mkuu, wasiliana na hizi namba mtasaidika.TUMEOMBA NO YA MANAGER WA HAPA WANASEMA HAWANA MANAGER WAKO WAO KAMA WAO HATA UKIMJUA MANAGER HANA MSAADA AISEE
ABOOD MMEFIKIA HUKU
INAHUZUNISHASANA
Poleni sana kwa msiba, namba ya kuwapandishia kichaa hiyo hapoHABAARINI WAPENDWA
WA ABOOD BUS SEEVICE
KUNA MSIBA UMETOKEA WA JIRAN YANGU
LEO WAKAOMBA USAFIRI TUKAWAUNGA NA BOLT WAKAENDA SHELKLANGO
MZIGO UMETOKEA MOROGORO
UNAKUJA DAR
AJABU JANA JION WALIPIGA UJECHUKULIWA ASBH WAKAOMBA WATAPITIA LEO MCHANA
KUFIKA HAUONEKAN..MCHELE NA UMELETWA KWA AJILI YA MSIBA WA MAMAYAO MZAZI
OFISI YA SHEKILANGO KUPITIA MZEE MMOJA AKAHANGAIKA SIMU ZOTE
AKAPIGA MORO KWA JAMAA ANAITWA HAMISI
ANASEMA KAZI YAKE KUTUMA NA AMETUMA SWALA LA KUFIKA WAWASILIANE NA OFISI ZA HUKU
HUKU WAKAPIGA URAFIKI WAKASEMA KUNA GARI HAIKUINGIA SHEKILANGO JANA IMEACHA MIZIGO MINNE HAPA
AKATAKA MAJINA HAIPO
IKALETWA HAIPO
WAKAPIGA. MWEMBECHAI HAUPO
WAKARUDI KWA HAMISI AKASEMA YEYE HAELEWI TUSUBIRI MPAKA KESHO HANA CHA KUFANYA
LEOUNAHITAJIKA KWA AJILI YA MSIBA INAHUZUNISHA SANA SANA
OFISI HIZI ZA KUZISIMAMIA
HAPA WATU WA OFISI HATA HAWANA DILI TENA NA WAO WAKAONDOKA
ABOOD BUS SERVICE
AJIRINI WATU WENYEHEKIMA HUYU HAMISI ANAJIBU OVYO SANA
Huyohuyooo ana nyodo kama ofisi za babayakeHuyo Hamisi ni maji ya kunde, mrefu wa wastani? Pdidy
Kama ndo huyo basi nishawahi kumpandishia kichaa, jamaa ni mshenzi na sijui kwanini mpaka saiv bado yupo ofisini?
Pole sana mpwa umefoka kweli kweli kwenye huu uzi vipi na ofisi uliwacharukia hivi hivi ?Huyohuyooo ana nyodo kama ofisi za babayake
Baada ya kuandika huku
Kesho yakee wanepiga kwa mhusika wakachukue mzigo ati ulikuwa mwembe chai
Na mwembechai wamepigiwa wakasema hakuna mzigo iliyobakia
Sijuii hii waliipata wapi tena minne mns kuna wengine wamesafa kama dada yetu
Aibusana kampuni kubwa kama hikii
Hii namba ya Tajiri ?...Poleni sana kwa msiba, namba ya kuwapandishia kichaa hiyo hapo
0748771551
Yaani nduguMtu unajisikiaje kusherehekea sikukuu tena ya kidini kwa mchele wa wizi!
Mchele wenyewe kwa ajili ya chakula cha msiba!
NB:Namba unazopewa bila utambulisho wa mwenye nazo na uhusika wake na Abood upige ukiwa na akili timamu!
Mpwaaa ninaowacharukia nauliza mamanager wanasema hakuna manager wao ndio kila kitu duh nkasema iweje ofisi kubwa kama pale shekilango inakosaa mnagerPole sana mpwa umefoka kweli kweli kwenye huu uzi vipi na ofisi uliwacharukia hivi hivi ?
Japo msiba bila wali bado marehemu haendi kwa amani kabisa