UTAPELI WA MIZIGO UMEANZA ABOOD SERV ??VIONGOZI FWATILIEN HILI N AIBU SANA

UTAPELI WA MIZIGO UMEANZA ABOOD SERV ??VIONGOZI FWATILIEN HILI N AIBU SANA

Hiyo ya pili nimeongea nar nikapiga sanasa aa badae akanikataa mazima kupokeaa mpakaa Yesu arudi

Nkaawatakia na nyir msiba mwema mkateseke hivihivi
Aisee poleni sana.

Huyo wa 1 ni HR wa Abood - Dsm
Huyo wa pili ni anayesimamia ofisi ya mizigo - Moro
 
Huyohuyooo ana nyodo kama ofisi za babayake

Baada ya kuandika huku
Kesho yakee wanepiga kwa mhusika wakachukue mzigo ati ulikuwa mwembe chai

Na mwembechai wamepigiwa wakasema hakuna mzigo iliyobakia

Sijuii hii waliipata wapi tena minne mns kuna wengine wamesafa kama dada yetu

Aibusana kampuni kubwa kama hikii
Sielewi ni kwanini hawataki kumtoa huyo mtu au amewaroga?
 
Aisee poleni sana.

Huyo wa 1 ni HR wa Abood - Dsm
Huyo wa pili ni anayesimamia ofisi ya mizigo - Moro
Hutu wa pili ndie alijibu kazi take na kupokea mzigo kuandika ku.sainisha dreva hayo mengine sijui wapi kazi ya huko..... umepatikana mwembe chai nkamjulisha tag n ya shekilangooo u.ekujaje mwembe chaii akakata infact wahuni flan wamekaa ofisin wamalize kazi wakalale
 
Nikiwambia kukosea wakati wa kwenda kutudi tunarudi wenyeweeeeee ahdanten

marehemu yuko ardhini sikuya nne

shame n them tu.eingia gharama huku mzigo uko ofisini kwaoo ushe zi mtupu huyu mruma sijui wa mwembechqi wakuondoaaa
 
Hutu wa pili ndie alijibu kazi take na kupokea mzigo kuandika ku.sainisha dreva hayo mengine sijui wapi kazi ya huko..... umepatikana mwembe chai nkamjulisha tag n ya shekilangooo u.ekujaje mwembe chaii akakata infact wahuni flan wamekaa ofisin wamalize kazi wakalale
Aisee, poleni sana.
Huyo HR kuna siku alinisaidia sana kuhusu mzigo wangu, ilikuwa kidogo tu amuondoe aliyesababisha usumbufu.

Siku hizi amekuwaje tena.
 
Hao Ni Wabovu, Lugha Mbaya Sana Kama Pilipili
Nimeitumia Nikiwa Moshi Kutuma Mzigo Morogoro
anayepokea Lazima Asumbuliwe, Maswali Tele


Nikiwa Morogoro Nikatuma Mwanza
Mpokeaji Alipata Tabu Mno
Kwaujumla Ni Wabovu Na LATRA Haiwagusi
Kutoka Morogoro Kwenda Moshi
Unakatiwa Nauli Ya Arusha Hutaki Acha

Wakati LATRA Wanahimiza Ulipe Nauli Kulingana Na Unapokwenda
Yaani Unashuka Njiani Unalipa Safari Nzima
 
administration n shida sana pale aboood na nahisi wakubwa juu hawawafatilii
 
TUMEOMBA NO YA MANAGER WA HAPA WANASEMA HAWANA MANAGER WAKO WAO KAMA WAO HATA UKIMJUA MANAGER HANA MSAADA AISEE

ABOOD MMEFIKIA HUKU
INAHUZUNISHASANA
Abood sasa hivi ni mizinguo tu, sijajua suala la kusafirisha misiba ila kwa mizigo hapo kazingua
 
Back
Top Bottom