Aisee poleni sana.Hiyo ya pili nimeongea nar nikapiga sanasa aa badae akanikataa mazima kupokeaa mpakaa Yesu arudi
Nkaawatakia na nyir msiba mwema mkateseke hivihivi
Sielewi ni kwanini hawataki kumtoa huyo mtu au amewaroga?Huyohuyooo ana nyodo kama ofisi za babayake
Baada ya kuandika huku
Kesho yakee wanepiga kwa mhusika wakachukue mzigo ati ulikuwa mwembe chai
Na mwembechai wamepigiwa wakasema hakuna mzigo iliyobakia
Sijuii hii waliipata wapi tena minne mns kuna wengine wamesafa kama dada yetu
Aibusana kampuni kubwa kama hikii
Hutu wa pili ndie alijibu kazi take na kupokea mzigo kuandika ku.sainisha dreva hayo mengine sijui wapi kazi ya huko..... umepatikana mwembe chai nkamjulisha tag n ya shekilangooo u.ekujaje mwembe chaii akakata infact wahuni flan wamekaa ofisin wamalize kazi wakalaleAisee poleni sana.
Huyo wa 1 ni HR wa Abood - Dsm
Huyo wa pili ni anayesimamia ofisi ya mizigo - Moro
Aisee, poleni sana.Hutu wa pili ndie alijibu kazi take na kupokea mzigo kuandika ku.sainisha dreva hayo mengine sijui wapi kazi ya huko..... umepatikana mwembe chai nkamjulisha tag n ya shekilangooo u.ekujaje mwembe chaii akakata infact wahuni flan wamekaa ofisin wamalize kazi wakalale
Abood sasa hivi ni mizinguo tu, sijajua suala la kusafirisha misiba ila kwa mizigo hapo kazinguaTUMEOMBA NO YA MANAGER WA HAPA WANASEMA HAWANA MANAGER WAKO WAO KAMA WAO HATA UKIMJUA MANAGER HANA MSAADA AISEE
ABOOD MMEFIKIA HUKU
INAHUZUNISHASANA
Kwani hio Abood mmiliki ni nani?administration n shida sana pale aboood na nahisi wakubwa juu hawawafatilii