Hahahahahaha eti kilimo cha online, so naona jamaa yeye kachoka kuzipata hizo million na sasa analeta fursa kwa wanajamii. Kweli nimeamini kuwa ukiitiwa fursa jua wewe ndiyo fursa.Wanaenda kuambiwa kilimo cha matikiti heka ya milioni moja unavuna milioni 200 ha ha ha ha kilimo cha online
Mwenye tangazo yuko Sawa unaweza kutoka 120000 kwenda mill 100 Sawa .Gharama ya kozi ni 40000 .Nilianza biashara Kwa 68000 nikaipeleka 950mill .Kwa hiyo sioni cha ajabu hapo
Ulikua unafanya biashara gani?
Nisidharau huwenda wew ndiwe..
vp zile contena 200 ziliingiaga mkuuUtapeli kamwe hauwezi kuisha...ila kilichobaki unabadilika tu mode za upigaji....
Majuzi tu ..hata mwezi haujapita kuna mpuuzi akaanza kuniambia mambo ya Qnet...nikamuangaliaa alafu nikamuacha kama alivyo...alafu ni bro namweshimu sana..yeye anasema baada ya miezi 6 anaagiza kontena kama 200 kutoka China