Hahahahahaha eti kilimo cha online, so naona jamaa yeye kachoka kuzipata hizo million na sasa analeta fursa kwa wanajamii. Kweli nimeamini kuwa ukiitiwa fursa jua wewe ndiyo fursa.Wanaenda kuambiwa kilimo cha matikiti heka ya milioni moja unavuna milioni 200 ha ha ha ha kilimo cha online