Utapeli wa nguvu ya pesa na jicho la tatu

Utapeli wa nguvu ya pesa na jicho la tatu

LC300

Member
Joined
Jan 23, 2025
Posts
45
Reaction score
49
Kuna vijana ambao tayari wamepigwa za uso na kukosa imani na kijana wa mizimu Bw. Chief, lakini pia kuna ambao hawajui ukweli kuhusu kujiunga nao.

Hii yote ni vijana kutaka mafanikio makubwa ya haraka. Ila ukosefu wa akili ya kujiuliza maswali ndo unachangia 🤦🏾

Mfano:
1. Mtu anakuambia njoo ujiunge kwa Tshs. 150,000/= upate code za utajiri, wakati huohuo mtu anatamba ana hela na zingine tunaona kweli anasaidia watu, kwann anaitaka laki Tshs. 150,000/=

2. Pia kwann anatumia nguvu kuniita na kuniaminisha kuwa mizimu inaweza kutajirisha?

Vijana hatujiulizi na kujijibu. Tunasahau kuwa mitandao haielezi nyuma ya pazia siku zote watu hutumia mitandao kuonyesha mema.

Iko hivi ukilipia Tshs. 150,000/= baada ya hapo utaungwa kwenye grup then hakuna cha maan utakachoambulia zaidi ya maneno ambyo ulishwa wahi kuyasikia kama vile; umasikini ni laana, mwanaume inabid ujitoe upate hela n.k alafu unaambiwa inabidi ulipie Mil. 1,725,000/=

Awali kumbuka uliambiwa njoo ujiunge uondokane na umasikini ila haukuambiwa kuna kulipia tena hela hiyo Milioni na point hapo ndo vijana hujikuta wameingia mkenge. 😂😂

Pia huyo jamaa ni muongo sana kwa mfano ikitokea tukio hapa Tz atalielezea na kujionyesha ana ushauri mzuri, hapo hapo anakuambia yeye sio mpenzi wa kuongela mambo ya mtu 😂😂 Me huwa nachoka kwa kweli, alafu anachokielzea unakuta ni tofauti na ukweli wa jambo.
Issue Godluck Gozbert alidai gari iliyochomwa ilikuwa nyeupe lakin Gozbert kachoma nyeusi et mtu mweny akili timamu ataelewa tuu kijan anatafuta kiki. Alafu Gozbert akaelezea gari ilikuwa ya silver akaibadili ikawa black... Kuna mengi tuu huwa anayakurupukia na kumbe sio hivyo anavyojua huy Doglove.

Swala la mizimu kukutajirisha sina hakika nalo ila ninachojua shetani sio msenge akupe hela bila kukuingiza mkenge kuweni makin na hela za watu.

Ukitoa leo kafara ya ng'ombe ukikosea masharti lazima utoe kafara ya damu inayozidi ng'ombe ili uombe msamaha kwa viumbe wanaokupa hela ambayo ni damu ya binadamu.

NITAIPOSTI TENA KUHUSU MADHABAU NA NAMNA ZINAVYOFANYA KAZI ZA MIUJIZA FEKI STAY TUNED.

Vijana maisha yanaumiza naelewa hali za maisha yalivyo kwa baadh ya vijana maisha ni magumu wengine nafuu, kawaida na wengine mazuri.

Hivyobasi wewe unayeishia wakat mzuri mkumbuke na mwenzio ambay yupo wakati mgumu... Usikariri kuwa maisha ni sawa kwa wote pindi upo kwenye wakati mzuri. Napenda vijana mtafakari vizur kabla ya kuchukua hatua la sivyo utakuwa wa kutapeliwa everyday.

Watu wa LBL, FIC, TOP n.k nyie pia hamtumii akili kufikiria wapo watakaopoteza hela zao huko na watatoo milio shindiliii
 
Huyu ndo yule aliejafanya anampa mbwa nyama safi za bei mbaya alaf dogi akamgeuzia kibano video ikaanza kucheza jamaa akitimua mbio kama kafumaniwa na mjeda??
 
Watu wa LBL, FIC, TOP n.k
Mkuu hayo maneno kirefu chake ni nini??
 
Hawa ndio kina Iman Ghadzi,Alex Hormozi,Ali Abdaal wanavunga wana hela, baadae wanaanza tena kukwambia ujiunge na kozi zao kwa $500-$20000
 
Ndio nani huyo jamaa? Tuwekee na picha yake nasisi tumfahamu.

Ila kama hawashiki mkono wanaenda wenyewe sidhani kama kuna shida.
 
Back
Top Bottom