Utapenda namna Babutale, Fella na Sallam walivyo professional kwenye kazi yao

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Lazima tukubali huu utatu wa mameneja wa WCB wanafanya kazi yao kwa weledi mkubwa.

Ni ukweli usiopingika hata wewe unaesoma hapa, mtoto wako akiwa na kipaji kikubwa cha kuimba. Ukiambiwa umtafutie management serious ya kumpa mafanikio huu utatu ndio utakuwa wa kwanza kuja kichwani mwako.

Nataka niwaonyeshe matukio machache ya hivi karibuni ili muone awa jamaa wanaijua kazi yao hawabahatishi

Tukio la Rayvanny na Paula; Mpaka tukio linaisha hatukuona picha yoyote ya Rayvanny akiwa maeneo ya polisi, japo tunaambiwa alikaa kwa muda rumande. Hii haijatokea bahati mbaya kuna watu wamefanya kazi yao kulinda image ya msanii wao. Hata wale walazimisha kiki walipojaribu kuchokonoa Instagram na redioni hawakupata reply yoyote, walipuuzwa.

Tukio la Superwoman; we all know kumpata makamu wa rais kwenye tukio la media iliyotoka kufungiwa sio kitu kidogo, tena tukio lilifana mpaka wengine wakadhani Superwoman ni kampeni ya kitaifa. Yote haya hayajatokea bahati mbaya kuna watu wanafanya kazi yao.

Tukio la uzinduzi wa label ya Rayvanny; Wengi wamestaajabu namna management ya Wcb walivyompa support kijana wao, walitegemea wazo la kuanzisha kampuni yake ya music la Chui lingezua vita, ila imekuwa tofauti kapata ile support unaona kabisa imetoka na baraka. Hii pia sio bahati mbaya, wanajaribu kukuza brand ya Rayvanny na kutanua biashara yao. Who knows maybe keshokutwa kunaweza kusiwe na Wasafi as a music label bwana Chibu akaachia mambo ya usimamizi wa muziki kwa Ray.

Tukio la Shilole na shabiki wake mfaransa; kwenye lile tukio unaona kabisa Shishi alikula mpunga kwa yule demu na akamuaminisha anammudu Chibu. Bahati mbaya alimvamia Chibu sehemu isiyo sahihi kibiashara, watu wapo kwenye branding ya tukio lao yeye akawachanganyia tukio. Lakini pamoja na kuwa hawakupenda walijitahidi kuplay very smart wasichafue image yao.

Tukio la uzinduzi wa album ya Mbosso; album ya Mbosso inazinduliwa Jumamosi pale Mlimani city kiingilio cha juu ni mil 5 kwa meza za VVIP na kiingilio cha chini ni elfu 50. Viingilio vinaonekana ni vikubwa lakini nawahakikishia tukio litakuwa sold out na pale Mcity hapatakuwa na pakukanyaga. It's all about branding and perception.

Keshokutwa usishangae kumuona Lavalava nae ana jambo lake.

Albums, EPs, hitsongs, corporate events, mwisho wa mwaka wakifunga hesabu rotation ya muziki inabaki WCB na si kwa bahati mbaya.
 
Nyinyi tuzo za Grammy mtachukua lini, au mnajishebedua kwenye mitandao ya kijamii hamna lolote, Mara Paula, Mara ngono, Mara supa woman, yani upuuzi upuuzi tu, tuzo za Grammy mtaishikia kuzisikia kwenye masikio yenu kwa kujisifu huku Ku handle video ya ngono ya Paula na rayvany
 
Mii siamini katika uwezo wa hawa jamaa kwa kiwango hicho. Ukiwaangalia hawa mameneja wote ni watu waliofeli katika menejimenti zao huko nyuma. Fella aliishindwa TMK Wanaume Family na ndiyo kwanza ikagawanyika na kumfia mikononi. Ikaja Ya Moto Band. Muangalie Babu Tale, huyu ndiyo kabisa, pale Tip Top Connection alikuwa kama boya tu. Alishindwa kuifanya ipae kimafanikio licha ya kuwa na vichwa vingi vinavyojua. Na huyo Salla mii ndiyo sielewagi. Eti alikuwa meneja wa AY. Tujiulize AY ana mafanikio gani kimuziki zaidi ya kujibrand yeye kama yeye. Kama AY ana nyimbo hits, basi ni za kawaida tu kama akina Belle 9, Juma Nature na wengine wa kawaida ambao wanabahatikaga kuwa na hit.
Mimi kwa uelewa wangu, najua hao wote wanafuata maelekezo ya Diamond. Huyu dogo wa Tandale aliona jamaa wana skills lakini hawajui kuzitumia, so kawakusanya na wote wanafuata vision ya dogo. Ndiyo maana hata ukiwaona wakiwa na Diamond, wanaonyesha jinsi wanavyomuogopa, maana wanajua akiwamwaga hawana future na hawana ujanja wa kumdropisha dogo
 
Basi kikao kimeisha , tumeelewana Diamond Platnums the 🐐 of Bongo fleva ...
 
Nyinyi, tuzo za Grammy mtachukua lini, au mnajishebedua kwenye mitandao ya kijamii hamna lolote, Mara Paula, Mara ngono, Mara supa woman, yani upuuzi upuuzi tu, tuzo za Grammy mtaishikia kuzisikia kwenye masikio yenu kwa kujisifu huku Ku handle video ya ngono ya Paula na rayvany
mbona hauulizi tuzo za BET na MTV?

Grammy siasa zake ni kubwa huyo burnaboy kapata kwa mgongo wa PDidy...Bila mkono wa PDidy burnaboy asingechukua grammy. So ndio haya nayozungumza burnaboy kapata management nzuri Aclass ya dunia.
 
Tuzo za Grammy ziko wapi? Tuzo za Grammy zimekua za kisiasa au hamna uwezo wa kuzichukua hamjafika level hio na pengine hantafika milele kwa miziki yenu hii ya kanyaga kanyaga wazushi kanyaga kanyaga baby ninunulie bando kanyaga kanyaga
 
mbona hauulizi tuzo za BET na MTV?

Grammy siasa zake ni kubwa huyo burnaboy kapata kwa mgongo wa PDidy...Bila mkono wa PDidy burnaboy asingechukua grammy. So ndio haya nayozungumza burnaboy kapata management nzuri Aclass ya dunia.
Fact watu Wana kaza mafuzu tu[emoji23][emoji23][emoji23],hawajui kuwa hata huyo Burnaboy ashukuru P.diddy basi ndo bahati yake , lakini kwa diamond platinumz watasubiri sana.
 
Mnajishebedua wanaume, si mnasema mendezi na libabu ndio mameneja wa dunia , sasa wampe basi tuzo za Grammy nasibu nyange ...hahahaha mkundu wewe, eti kwa diamond watasubiri ..tuzo yake ya Grammy diamond iko wapi ..tuonesheni tuzo ya Grammy au hata ya kufoji tu mbwa nyie
 
Tuzo za Grammy ziko wapi ? Naona umeibuka kumtetea laazizi mwenzio wa wcb
Unajua why Kanye west alizikojolea tuzo za Grammy,why Lili wyne juzi Twitter kaziponda tuzo za Grammy,na pia una just why The weekend pia aliziponda tuzo za Grammy.. ?means currently tuzo za Grammy Ni siasa tu Kama tuzo zingine,na je unajua kuwa RAYVANNY alichukua BET kabla ya Burnaboy na pia diamond platinumz alivhukua MVP pamoja na MTV wakati burna boy bado local artist Nigeria na je unajua kuwa Burnaboy kapata recognition 2019/2020....?wakati diamond platinumz na Rayvanny wamepata recognition yangu 2014/2015....?
 
Mii siamini katika uwezo wa hawa jamaa kwa kiwango hicho. Ukiwaangalia hawa mameneja wote ni watu waliofeli katika menejimenti zao huko nyuma. Fella aliishindwa TMK Wanaume Family na ndiyo kwanza ikagawanyika na kumfia mikononi. Ikaja Ya Moto Band. Muangalie Babu Tale, huyu ndiyo kabisa, pale Tip Top Connection alikuwa kama boya tu. Alishindwa kuifanya ipae kimafanikio licha ya kuwa na vichwa vingi vinavyojua. Na huyo Salla mii ndiyo sielewagi. Eti alikuwa meneja wa AY. Tujiulize AY ana mafanikio gani kimuziki zaidi ya kujibrand yeye kama yeye. Kama AY ana nyimbo hits, basi ni za kawaida tu kama akina Belle 9, Juma Nature na wengine wa kawaida ambao wanabahatikaga kuwa na hit.
Mimi kwa uelewa wangu, najua hao wote wanafuata maelekezo ya Diamond. Huyu dogo wa Tandale aliona jamaa wana skills lakini hawajui kuzitumia, so kawakusanya na wote wanafuata vision ya dogo. Ndiyo maana hata ukiwaona wakiwa na Diamond, wanaonyesha jinsi wanavyomuogopa, maana wanajua akiwamwaga hawana future na hawana ujanja wa kumdropisha dogo
Kufeli vipi? Mtu kama Said Fella kasimamia kazi za msanii namba moja wakati huo Juma Nature kwa mafanikio makubwa...Nature alipata mafanikio yote unayoyajua kuanzia tunzo za chanel O, mauzo makubwa ya albums na records mbalimbali akiwa chini ya Fella. Why alipoondoka kwa Fella akapoteana mpaka leo? ndio uelewe management skills za huyu jamaa zilimbeba sana Nature.

wasanii kama ferouz, sumalee, jux, chege, temba, yamoto, shaa, dulla makabila nk walipokuwa kwenye mikono yake walikuwa juu ile mbaya utapataje shaka na uwezo wa huyu mwamba?!

Kuhusu Tale wote tunajua Titop ilivyokuwa juu.

Sallam kaanza kufanya management ya wasanii serious akiwa na Diamond kabla alikuwa anafanya ishu zake na kwenye muziki alikuwa anafanya deals zaidi.

Kuungana kwa awa watu sio kwa sababu walifeli walipotoka ila wameongeza nguvu ya pamoja na kutengeneza kitu strong.
 
Mnajishebedua wanaume, si mnasema mendezi na libabu ndio mameneja wa dunia , sasa wampe basi tuzo za Grammy nasibu nyange ...hahahaha mkundu wewe, eti kwa diamond watasubiri ..tuzo yake ya Grammy diamond iko wapi ..tuonesheni tuzo ya Grammy au hata ya kufoji tu mbwa nyie
Kama walishindwa kumpa nomination hata moja THE WEEKEND na ALBUMS Yake Kali ya AFTER HOURS pamoja na kibao chake Bora kabisa kuwahi kutokea Cha BLINDING LIGHTS utashangaa DIAMOND PLATINUMZ kubaniwa au RAYVANNY au ZUCHU kukosa...?DAVIDO je amepata GRAMMY au hata recognition so Ni Bora hata WCB waliitwa kwenye hatua za swali za consideration [emoji23][emoji23][emoji23]

ACHA KUKAZA FUVU NA MATUSI MSHINDO
 
Unajua why Kanye west alizikojolea tuzo za Grammy,why Lili wyne juzi Twitter kaziponda tuzo za Grammy,na pia una just why The weekend pia aliziponda tuzo za Grammy.. ?means currently tuzo za Grammy Ni siasa tu Kama tuzo zingine,na je unajua kuwa RAYVANNY alichukua BET kabla ya Burnaboy na pia diamond platinumz alivhukua MVP pamoja na MTV wakati burna boy bado local artist Nigeria na je unajua kuwa Burnaboy kapata recognition 2019/2020....?wakati diamond platinumz na Rayvanny wamepata recognition yangu 2014/2015....?
Tuzo za Grammy ziko wapi?? Tuzo za Grammy ziko wapi? Kanye west kunyea au kukojolea haina uhusiano na nasibu kuchukua Grammy..tunataka tuzo za Grammy, eti nasibu alianza kuchukua bet kabla ya burna akiwa local artist , unaumwa mavi wewe , basi kwa staili hio nasibu angekua hadi sasa ana Grammy awards kama mbili hivi, yeye si katangulia? Au rayvany mbakaji angekua na Grammy kama tatu hivi..
 
Back
Top Bottom