Utapenda namna Babutale, Fella na Sallam walivyo professional kwenye kazi yao

We umeshachukua hiyo tuzo
 
Siku moja Rich Mavoko alikua anahojiwa kuhusu yeye Kuondoka WCB, inasemekana Mond yuko serious kupita maelezo yaan inaonekana Mond ndio chief organizer kwenye kila kitu and he is extremely serious, jamaa tunamchukukia poa kumbe anafanya sana kazi, pia naanza kuamini matukio yanayofanywa na WCB mara nyingi zinakuwa orchestrated kama kiki ili waendelee kubaki kwenye mainstream, jamaa hawalali. Ila huyo Mavoko kwa maelezo yake alikua anamkwepa Diamond kutokana na jamaa kuwa serious na kazi all the time hadi jamaa anakosa muda wa kurelax.
 
mimi ni nani nipinge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…