Utaratibu mzuri wa kuendesha gari (Automatic Gear)

 
Wewe ndiyo unatuchanganya sasa.Na unaharibu maada.hapa yanaongelewa magari ya outomatic wewe unaleta tena manual
 
Ukishindwa kuelewa hapa i am not sure you will be able to understand me. This one is very simple explaina

Sasa ulichokuwa unabisha ni nini ikiwa nimekwambia ni kama extra gear. Au ni gear ya ziada?
Ubishi ulianzia kwenye gari ina gear nne halafu overdrive ni ya tano.

Hapa ndio nitakataa mpaka kesho.
 
Ubishi ulianzia kwenye gari ina gear nne halafu overdrive ni ya tano.

Hapa ndio nitakataa mpaka kesho.
Endelea kukataa wakati waliotengeneza ndo wanakwambia ni extra gear. Sasa wewe kataa milele. Mimi nimekupa na evidence hapo juu. Na mimi sijaandika ili wewe ukubali. Sababu ukikataa au ukikubali haibadili ukweli. Ungenambia amekataa mtaalam wa magari sawa. Sasa unasema wewe member wa JF utakataa mpaka kesho. Hiyo itaathiri vipi ukweli? 😁
 
Mimi nlisema ipo nje ya gearbox? 😳Hapo kwelo ntakuwa nmekosea. Kuna gear inakuwa nje ya gearbox?
Ninaposema kwamba overdrive iko ndani ya gearbox nina maana kama gari ina gear 4 basi overdrive iko ndani ya hizo gear 4.

Wewe mwanzo ulikuwa unasema Kama gari ina gear 4 basi overdrive ni ya 5 kitu ambacho siyo kweli.
 
Mtu asiyejua overdrive ni kitu gani ndio utamuaminisha hivyo atakukubalia.

Kama gari ina gear 4 kama overdrive haifanyi kazi gari itaishia gear namba tatu.

Sasa kama overdrive ni gear ya 5 kama unavosema, then isipofanya kazi gari ingeishia gear namba nne.

Naongea from experience siyo mambo ya kusoma mitandaoni.
 
puker ina maana siwezi kupanda mlima Sekenke au Wami kwa kutumia D?Ina maana D haijitoshelezi?Kwa nini nipande mlima Sekenke kwa kutumia manual wakati ndani ya D kuna gear namba 1,2 na 3?
 
Yaani una overtake kwa gear no 2? Hapa umedanganya watu. Gari ilikuwa gear no 4 unataka muovertake mtu ambaye yupo speed unarudi number 2 eti uongeze speed ya gari yako. Huu mbona uongo wa wazi wazi kabisa? Hujui hizi gari.
🤣🤣🤣
 
Kwa nini kwenye matope nitumie L?Ina maana D haijitoshelezi?Kwa sababu mimi ninavyojua ni kwamba ndani ya D kuna gear zote kuanzia 1,2,3,4 na kadhalika.Sasa kwa nini niende L ambayo ni sawa na gear namba moja ambayo tayari ipo ndani ya D?
 
Kwa nini kwenye matope nitumie L?Ina maana D haijitoshelezi?Kwa sababu mimi ninavyojua ni kwamba ndani ya D kuna gear zote kuanzia 1,2,3,4 na kadhalika.Sasa kwa nini niende L ambayo ni sawa na gear namba moja ambayo tayari ipo ndani ya D?
Mkuu kumbe na huku upo!
Ukiweka D, gia zitakuwa zinabadilika kulingana na unavyokanyaga accelerator.

Kubadilika badilika kwa gia kunaweza kuifanya gari isiperform vizuri kwenye njia korofi!

Ukiweka L ume'lock' maana yake hakuna kubadilika badilika kwa gia. Kutobadilika kwa gia kutaifanya gari i'maintain' power yake hivyo iwe rahisi kupambana na njia korofi.

Hata hivyo hiyo L pekee haitoshi kukukwamua maeneo korofi ndiyo maana baadhi ya magari yana 4WD na mengine yakaongezewa differential lock.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa mkuu umeongea point kubwa sana ambapo sitaweza kukuchallenge tena licha ya kuwa nilikuwa nimejipanga sana katika kuitetea D!👏👏👏Nilileta hii mada kwa ajili ya point kama hizi,nimescreenshot hili jibu kwa ajili ya elimu ya baadae.
 
Kupitia huu uzi nimegundua madereva wengi ni AUTO drivars, yaani mtu haelewi kitendo cha kupunguza gia ili ku gain momentum / speed ya engine iende sambamba speed ya matairi ili kupata overtaking ya haraka.

Kuna ID moja hapo mtu maarufu humu alafu kadhihirisha ukilaza wake, yaani kitu hakijui alafu anakataa anasema ni "uongo huo" akati kitu hakijui.

Tuache kuishi kwa kukariri, tujifunze kila siku, elimu haina mwisho.
 
Huo ujinga ulitaka kunigharimu siku moja. Katika kurudi D lever ikapitiliza hadi Reverse. Bahati sikukanyaga mafuta nilikuwa nakaanga gearbox sikuile😂😂😂😂!

Kwa overtake huwa nazima tu na kuwasha O/D gari inavuma kidogo kisha ikianza kuchanganya unampita mtu kama kasimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…