Utaratibu mzuri wa kuendesha gari (Automatic Gear)

Utaratibu mzuri wa kuendesha gari (Automatic Gear)

Gari haiwezi kuwa na gear 4 halafu overdrive iwe ya 5. Hakuna kitu kama hicho. Hakipo. View attachment 1701304

Mfano hiyo picha ni gearbox ya A760E ambayo ina gear 6. Hizo gear sita zote wamekuonesha hapo na gear ratio zake. Gear za kawaida ni 1 mpaka 4. Na overdrive gears ni 5 na 6(ambazo zina gear ratio chini ya 1).

Ukiwa kwenye gear namba 6 ukaweka O/D off gari itarudi kwenye gear namba nne. Ndio maana unasema gari inakuwa nzito.

Lakini haimaanishi kwamba hiyo gearbox ina gear 6 halafu overdrive ni ya 7 hakuna kitu hicho.

Ukiambiwa gari ina gear 8 jua overdrive ipo ndani ya hizo gear 8.
Screenshot_20210213-111316~3.png
 
Tuliza akili kijana, ndo iko hivo sasa kama hujui uwe unaomba maelekezo. Kuna vitu vya kufanya ili kuweza kuufanya mchezo huo. Kuna kitu kinaitwa rev matching. Unataka kuovertake gari na uko kwa gear namba 4. For a faster overtake, yani ile chaap ili umuovertake jamaa, unafanya hii kitu inaitwa rev matching.

Ukiwa gear namna 4, kwa kawaida speed hua inakua kuanzia 80kph huko. Kwa hiyo speed ya gari inakua kubwa kama mnavojua. Ko rev matching hii inakusaidia uweze kuifanya speed ya engine iweze kulingana na speed ya tairi. (Ziwe sambamba kwa kukanyaga mafuta mara moja wakati unabadili gear) ko kifupi unakua unatengeneza momentum pamoja na speed kubwa.

Jinsi ya kufanya rematch
Kuna aina tofauti tofauti za kuifanya hii kitu .

Upo gear namba 4 na unataka overtake, kama kawaida unakanyaga clutch unaiweka kwenye gear neutral, then unakanyaga mafuta na kutoa mguu(wakati huo huo) then unashift kutoka 4 kuja namba 2. Basically rpm zitashuka na kupanda kwa ghafla yani ambayo inatengeneza momentum kubwa na pia utaisikia hata muungurumo umebadilika yani. Ni tam sana hii kitu. (Inahitaji mazoezi maana kite do chenyewe kinatakiwa kifanyike faster sana yani.

Aina nyingine ni hii ya kurev match
Uko gear namba 4 afu unataka udownshift kuja gear ya chini uweze overtake gari kwa speed ya ajabu. Kama kawaida unakanyaga clutch ( wakati unakanyaga clutch na kubadili gear, muda huo huo kanyaga accelerator na kuiachia kwa wakati huo huo. (Kitendo hiki kinatakiwa kiwe cha faster sana yani). Ko yani lazima uone speed ya gari imeongezeka na pia utaeza kufanya overtaking uliokua unaikusudia.
Wewe ndiyo unatuchanganya sasa.Na unaharibu maada.hapa yanaongelewa magari ya outomatic wewe unaleta tena manual
 
Ukishindwa kuelewa hapa i am not sure you will be able to understand me. This one is very simple explaina

Sasa ulichokuwa unabisha ni nini ikiwa nimekwambia ni kama extra gear. Au ni gear ya ziada?
Ubishi ulianzia kwenye gari ina gear nne halafu overdrive ni ya tano.

Hapa ndio nitakataa mpaka kesho.
 
Ubishi ulianzia kwenye gari ina gear nne halafu overdrive ni ya tano.

Hapa ndio nitakataa mpaka kesho.
Endelea kukataa wakati waliotengeneza ndo wanakwambia ni extra gear. Sasa wewe kataa milele. Mimi nimekupa na evidence hapo juu. Na mimi sijaandika ili wewe ukubali. Sababu ukikataa au ukikubali haibadili ukweli. Ungenambia amekataa mtaalam wa magari sawa. Sasa unasema wewe member wa JF utakataa mpaka kesho. Hiyo itaathiri vipi ukweli? 😁
 
Mimi nlisema ipo nje ya gearbox? 😳Hapo kwelo ntakuwa nmekosea. Kuna gear inakuwa nje ya gearbox?
Ninaposema kwamba overdrive iko ndani ya gearbox nina maana kama gari ina gear 4 basi overdrive iko ndani ya hizo gear 4.

Wewe mwanzo ulikuwa unasema Kama gari ina gear 4 basi overdrive ni ya 5 kitu ambacho siyo kweli.
 
Endelea kukataa wakati waliotengeneza ndo wanakwambia ni extra gear. Sasa wewe kataa milele. Mimi nimekupa na evidence hapo juu. Na mimi sijaandika ili wewe ukubali. Sababu ukikataa au ukikubali haibadili ukweli. Ungenambia amekataa mtaalam wa magari sawa. Sasa unasema wewe member wa JF utakataa mpaka kesho. Hiyo itaathiri vipi ukweli? 😁
Mtu asiyejua overdrive ni kitu gani ndio utamuaminisha hivyo atakukubalia.

Kama gari ina gear 4 kama overdrive haifanyi kazi gari itaishia gear namba tatu.

Sasa kama overdrive ni gear ya 5 kama unavosema, then isipofanya kazi gari ingeishia gear namba nne.

Naongea from experience siyo mambo ya kusoma mitandaoni.
 
puker ina maana siwezi kupanda mlima Sekenke au Wami kwa kutumia D?Ina maana D haijitoshelezi?Kwa nini nipande mlima Sekenke kwa kutumia manual wakati ndani ya D kuna gear namba 1,2 na 3?
 
Yaani una overtake kwa gear no 2? Hapa umedanganya watu. Gari ilikuwa gear no 4 unataka muovertake mtu ambaye yupo speed unarudi number 2 eti uongeze speed ya gari yako. Huu mbona uongo wa wazi wazi kabisa? Hujui hizi gari.
🤣🤣🤣
 
Bila kuchanganya ni hivi muda wote gari iwe 'D' basi na dashboard taa zote ziwe off. Overdrive 'OD' hii kawaida ikitokea unashusha mlima mkubwa na hutaki kutumia sana break kwa maana ukiweka D gear zinakuwa zinachange na gari ku speed inakufanya uwe unakanyaga break sasa ukitumia sana break zinaweza kupata moto, hapa ndio OD inakazi. kwa vipi ukiweka OD Off kwa maana taa itawaka ni kuwa gear haita switch kwenda number 4 itabaki gear kubwa katika speed kama ya gear number 2 au 3 gari itashuka taratibu kwa uzito ila kumbuka ukifika katika njia nzuri rudi D na weka OD on kwa maana dashboard taa zote ziwe off vinginevyo ukisahau gari itakula sana mafuta na kuharibu gearbox. Ukisahau kuitoa taa ya OD inakuwa kama gari manual umeweka gear number 3 halafu unakanyaga tu mafuta RPM inapanda lakini gear haubadilishi. ushauri muda wote 99% endesha D, hizo L2 ikitokea tu umekwama kwenye tope au mchanga ndio utumie D ikishindwa. OD epuka pia ikitokea tu mlima mkubwa sana unashusha na barabara zetu hatuna milima mikubwa kihivyo.
Kwa nini kwenye matope nitumie L?Ina maana D haijitoshelezi?Kwa sababu mimi ninavyojua ni kwamba ndani ya D kuna gear zote kuanzia 1,2,3,4 na kadhalika.Sasa kwa nini niende L ambayo ni sawa na gear namba moja ambayo tayari ipo ndani ya D?
 
Kwa nini kwenye matope nitumie L?Ina maana D haijitoshelezi?Kwa sababu mimi ninavyojua ni kwamba ndani ya D kuna gear zote kuanzia 1,2,3,4 na kadhalika.Sasa kwa nini niende L ambayo ni sawa na gear namba moja ambayo tayari ipo ndani ya D?
Mkuu kumbe na huku upo!
Ukiweka D, gia zitakuwa zinabadilika kulingana na unavyokanyaga accelerator.

Kubadilika badilika kwa gia kunaweza kuifanya gari isiperform vizuri kwenye njia korofi!

Ukiweka L ume'lock' maana yake hakuna kubadilika badilika kwa gia. Kutobadilika kwa gia kutaifanya gari i'maintain' power yake hivyo iwe rahisi kupambana na njia korofi.

Hata hivyo hiyo L pekee haitoshi kukukwamua maeneo korofi ndiyo maana baadhi ya magari yana 4WD na mengine yakaongezewa differential lock.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kumbe na huku upo!
Ukiweka D, gia zitakuwa zinabadilika kulingana na unavyokanyaga accelerator.

Kubadilika badilika kwa gia kunaweza kuifanya gari isiperform vizuri kwenye njia korofi!

Ukiweka L ume'lock' maana yake hakuna kubadilika badilika kwa gia. Kutobadilika kwa gia kutaifanya gari i'maintain' power yake hivyo iwe rahisi kupambana na njia korofi.

Hata hivyo hiyo L pekee haitoshi kukukwamua maeneo korofi ndiyo maana baadhi ya magari yana 4WD na mengine yakaongezewa differential lock.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mkuu umeongea point kubwa sana ambapo sitaweza kukuchallenge tena licha ya kuwa nilikuwa nimejipanga sana katika kuitetea D!👏👏👏Nilileta hii mada kwa ajili ya point kama hizi,nimescreenshot hili jibu kwa ajili ya elimu ya baadae.
 
Kupitia huu uzi nimegundua madereva wengi ni AUTO drivars, yaani mtu haelewi kitendo cha kupunguza gia ili ku gain momentum / speed ya engine iende sambamba speed ya matairi ili kupata overtaking ya haraka.

Kuna ID moja hapo mtu maarufu humu alafu kadhihirisha ukilaza wake, yaani kitu hakijui alafu anakataa anasema ni "uongo huo" akati kitu hakijui.

Tuache kuishi kwa kukariri, tujifunze kila siku, elimu haina mwisho.
 
Gari nyingi za automatic huwa zina gia 4 ukiacha ya reverse, O/D ikiwa off maana yake gari haitafikia ile top gear, yaani itajibadilisha hadi gia ya 3 tu basi haitazidi hapo.

Mara nyingi uatumia hii ikiwa unapandisha kamlima au unashuka hasa ukiwa unashuka ili gari isiwe na kasi kubwa na pengine ika over rev, yaani ikiwa inashuka unawesa kuta rpm zinakwemda hadi 5k na kama dereva haelewi anaweza sababisha matatizo kwa engine.

Vivyo hivyo L itaishia gia 1, 2 itaishia gia ya 2 na 3 itaishia ya 3 kama gari yako ina option hiyo, na hizo gear ni kubwa maana yake zina nguvu zaidi na zinakula mafuta pia, uyaona hata ukiziweka mshale wa rpm unaenda juu zaidi ya 3k kama unakanyaga mafuta sana, hivyo zitumie kama kwenye matope au mchanga na pengine kuvuta gari, ila kwa ujumla tumia kwa tahadhari na kwa kuelewa.

Matumizi ya gear hizi L na 2 hasa 2 pia ni kwenye overtaking, unapotaka kumpita mtu ukiwa kwenye D ni risk sababu unaweza kuwa gear ya juu mfano 3 au 4 halafu ukachukua muda kumpita, kumbuka unaempita pia hajasimama na anaenda, sasa ukishusha gear lever kwenye 2 gari itaongeza nguvu na kasi halafu ukishampita unarudisha kwenye D maisha yanaendelea.

I hope nitakua nimesaidia kufafanua.
Huo ujinga ulitaka kunigharimu siku moja. Katika kurudi D lever ikapitiliza hadi Reverse. Bahati sikukanyaga mafuta nilikuwa nakaanga gearbox sikuile😂😂😂😂!

Kwa overtake huwa nazima tu na kuwasha O/D gari inavuma kidogo kisha ikianza kuchanganya unampita mtu kama kasimama.
 
Back
Top Bottom