Utaratibu mzuri wa kuendesha gari (Automatic Gear)

Gari nyingi za automatic huwa zina gia 4 ukiacha ya reverse, O/D ikiwa off maana yake gari haitafikia ile top gear, yaani itajibadilisha hadi gia ya 3 tu basi haitazidi hapo.

Mara nyingi uatumia hii ikiwa unapandisha kamlima au unashuka hasa ukiwa unashuka ili gari isiwe na kasi kubwa na pengine ika over rev, yaani ikiwa inashuka unawesa kuta rpm zinakwemda hadi 5k na kama dereva haelewi anaweza sababisha matatizo kwa engine.

Vivyo hivyo L itaishia gia 1, 2 itaishia gia ya 2 na 3 itaishia ya 3 kama gari yako ina option hiyo, na hizo gear ni kubwa maana yake zina nguvu zaidi na zinakula mafuta pia, uyaona hata ukiziweka mshale wa rpm unaenda juu zaidi ya 3k kama unakanyaga mafuta sana, hivyo zitumie kama kwenye matope au mchanga na pengine kuvuta gari, ila kwa ujumla tumia kwa tahadhari na kwa kuelewa.

Matumizi ya gear hizi L na 2 hasa 2 pia ni kwenye overtaking, unapotaka kumpita mtu ukiwa kwenye D ni risk sababu unaweza kuwa gear ya juu mfano 3 au 4 halafu ukachukua muda kumpita, kumbuka unaempita pia hajasimama na anaenda, sasa ukishusha gear lever kwenye 2 gari itaongeza nguvu na kasi halafu ukishampita unarudisha kwenye D maisha yanaendelea.

I hope nitakua nimesaidia kufafanua.
Yaani una overtake kwa gear no 2? Hapa umedanganya watu. Gari ilikuwa gear no 4 unataka muovertake mtu ambaye yupo speed unarudi number 2 eti uongeze speed ya gari yako. Huu mbona uongo wa wazi wazi kabisa? Hujui hizi gari.
 
Gari auto zina gear 4 ya 5 ndo overdrive. For your information.
 
Licha ya kutokuwa nalo, pia unaonekana ww sio dereva na haupo makini katika kusoma, unaposoma kitu kuwa mtulivu kuchukia mawazo ya wengine hayatakufanya uonekane unajua.
 
Kwakweli swala la O/D sijaelewa kabisa ikiwa on unakuwaje na ikiwa off unakuwaje coz Mimi nikiwasha naona on kwenye dashboard nikizima haionekani na huwa naizima siku zote
Bila kuchanganya ni hivi muda wote gari iwe 'D' basi na dashboard taa zote ziwe off. Overdrive 'OD' hii kawaida ikitokea unashusha mlima mkubwa na hutaki kutumia sana break kwa maana ukiweka D gear zinakuwa zinachange na gari ku speed inakufanya uwe unakanyaga break sasa ukitumia sana break zinaweza kupata moto, hapa ndio OD inakazi. kwa vipi ukiweka OD Off kwa maana taa itawaka ni kuwa gear haita switch kwenda number 4 itabaki gear kubwa katika speed kama ya gear number 2 au 3 gari itashuka taratibu kwa uzito ila kumbuka ukifika katika njia nzuri rudi D na weka OD on kwa maana dashboard taa zote ziwe off vinginevyo ukisahau gari itakula sana mafuta na kuharibu gearbox. Ukisahau kuitoa taa ya OD inakuwa kama gari manual umeweka gear number 3 halafu unakanyaga tu mafuta RPM inapanda lakini gear haubadilishi. ushauri muda wote 99% endesha D, hizo L2 ikitokea tu umekwama kwenye tope au mchanga ndio utumie D ikishindwa. OD epuka pia ikitokea tu mlima mkubwa sana unashusha na barabara zetu hatuna milima mikubwa kihivyo.
 
Lugha inatuchanganya. OD ikiwa ON ndio kawaida kwa maana gari itakimbia katika RPM ya chini huwezi kusikia engine inavuma na hapo dash board taa zote ziko off.

ukibonyeza OD off taa itawaka hapa gari itatembea na RPM juu na zaidi tumia katika milima tu usisahau kuweka ON ukikamata njia nzuri. ushauri stick na D tu all the time
 
Tuliza akili kijana, ndo iko hivo sasa kama hujui uwe unaomba maelekezo. Kuna vitu vya kufanya ili kuweza kuufanya mchezo huo. Kuna kitu kinaitwa rev matching. Unataka kuovertake gari na uko kwa gear namba 4. For a faster overtake, yani ile chaap ili umuovertake jamaa, unafanya hii kitu inaitwa rev matching.

Ukiwa gear namna 4, kwa kawaida speed hua inakua kuanzia 80kph huko. Kwa hiyo speed ya gari inakua kubwa kama mnavojua. Ko rev matching hii inakusaidia uweze kuifanya speed ya engine iweze kulingana na speed ya tairi. (Ziwe sambamba kwa kukanyaga mafuta mara moja wakati unabadili gear) ko kifupi unakua unatengeneza momentum pamoja na speed kubwa.

Jinsi ya kufanya rematch
Kuna aina tofauti tofauti za kuifanya hii kitu .

Upo gear namba 4 na unataka overtake, kama kawaida unakanyaga clutch unaiweka kwenye gear neutral, then unakanyaga mafuta na kutoa mguu(wakati huo huo) then unashift kutoka 4 kuja namba 2. Basically rpm zitashuka na kupanda kwa ghafla yani ambayo inatengeneza momentum kubwa na pia utaisikia hata muungurumo umebadilika yani. Ni tam sana hii kitu. (Inahitaji mazoezi maana kite do chenyewe kinatakiwa kifanyike faster sana yani.

Aina nyingine ni hii ya kurev match
Uko gear namba 4 afu unataka udownshift kuja gear ya chini uweze overtake gari kwa speed ya ajabu. Kama kawaida unakanyaga clutch ( wakati unakanyaga clutch na kubadili gear, muda huo huo kanyaga accelerator na kuiachia kwa wakati huo huo. (Kitendo hiki kinatakiwa kiwe cha faster sana yani). Ko yani lazima uone speed ya gari imeongezeka na pia utaeza kufanya overtaking uliokua unaikusudia.
Yaani una overtake kwa gear no 2? Hapa umedanganya watu. Gari ilikuwa gear no 4 unataka muovertake mtu ambaye yupo speed unarudi number 2 eti uongeze speed ya gari yako. Huu mbona uongo wa wazi wazi kabisa? Hujui hizi gari.
 
Licha ya kutokuwa nalo, pia unaonekana ww sio dereva na haupo makini katika kusoma, unaposoma kitu kuwa mtulivu kuchukia mawazo ya wengine hayatakufanya uonekane unajua.
Ukisema sinalo wakati ninalo haiondoi ukweli kuwa ninalo. Kama ambavyo ungesema ninalo wakati sina haitaondoa ukweli kuwa sinalo. Kama nina miaka 29 naendesha garo all over the country na wewe ukasema si dereva mzuri pia haiondoi ukweli husika. Au ungesema ni the best driver while i am not. Mimi nitasema ukweli daima. Fitina kwangu mwiko. Ulichoandika si sahihi.
 
Nimeshangaa pia!!
Hivi vitu vinataka uelewa na kujaribu ili uthibitishe, wala haina sababu ya kubishana, binafsi nimefanya sana na ndio inashauriwa pale unapotaka ku overtake especially kwenye high way unapo overtake malori, mabasi marefu yakiwa kwenye speed ya 80+kph.

Kuna suala hapo jamaa pia kasema kuwa overdrive ni gia ya tano, siwezi kubisha pengine gari yake iko hivyo, lakini wengine tumeona kwemye gari ambazo zinahesabu gia kwenye dashboard pale inaonyesha kadri unavyoenda na ukizima O/D haivuki gia 3 na ukiwasha inaongeza mpaka ya 4 na haizidi hapo, jambo hilo lilitosha kunisukuma nidadisi na kujifunza kuhusu kitu hicho zaidi.

Kwa ufupi O/D ni economy feature, inaruhusu output shaft izunguke tofauti na input shaft, hivyo unakua na kasi lakini katika rmp ndogo, hence hutumii mafuta mengi, kwa lugha ingine ukifika kuanzia say 70kph na kuendelea OD itawezesha shafts zizunguke zaidi ya engine inavyozunguka, na gari ita accelerate kwa momentum zaidi.

Sasa katika mazingira hayo ukitaka ku overtake, utakanyaga kibati, baadhi ya gari zita detect na computer itapangua gia itashusha kwenda za chini ili rpm iweze endana na output shaft plus gari ipate nguvu na kasi hivyo rpm zitapanda. Lakini kwa anaefahamu anaweza kufanya kitu hicho hicho manually kwa kushusha gia kutoka D kwenda 2.

Kwa wanaoendesha manual ndio wanaelewa sana hii mambo, kwanza gari nyingi manual ni 5 speed gears, uakiacha reverse gear, sasa akiwa kwenye kuanzia gear ya 4 au 5 halafu anataka kumpita ambaye nae yuko kasi lazima apangue gia ili apate nguvu ya kumpita.

Tuendelee kujifunza.
 
Exactly...umeelezea vyema kabisa. Ukishindwa kuelewa hapa sjui tukupeleke wapi. Unaeza jaribu tu ukiwa na speed ya 60+kph then ubonyeze O/D utaona kabisa hadi dashboard speed inaongezeka kiasi flan hata bila kukanyaga accelerator
 
Umesahau automatic gear box zipo design kama tatu (kuna DSG, Kuna traditional automatic yaan ATF na CVT) sasa wewe maelezo yako yamejikita kwenye traditional automatic yaan ATF, ila gari nyingine zinakuja gear box ya CVT au DSG so hizo feature za OD huto zikuta..
 
Tuliza akili kijana, ndo iko hivo sasa kama hujui uwe unaomba maelekezo. Kuna vitu vya kufanya ili kuweza kuufanya mchezo huo. Kuna kitu kinaitwa rev matching. Unataka kuovertake gari na uko kwa gear namba 4. For a faster overtake, yani ile chaap ili umuovertake jamaa, unafanya hii kitu inaitwa rev matching.

Ukiwa gear namna 4, kwa kawaida speed hua inakua kuanzia 80kph huko. Kwa hiyo speed ya gari inakua kubwa kama mnavojua. Ko rev matching hii inakusaidia uweze kuifanya speed ya engine iweze kulingana na speed ya tairi. (Ziwe sambamba kwa kukanyaga mafuta mara moja wakati unabadili gear) ko kifupi unakua unatengeneza momentum pamoja na speed kubwa.

Jinsi ya kufanya rematch
Kuna aina tofauti tofauti za kuifanya hii kitu .

Upo gear namba 4 na unataka overtake, kama kawaida unakanyaga clutch unaiweka kwenye gear neutral, then unakanyaga mafuta na kutoa mguu(wakati huo huo) then unashift kutoka 4 kuja namba 2. Basically rpm zitashuka na kupanda kwa ghafla yani ambayo inatengeneza momentum kubwa na pia utaisikia hata muungurumo umebadilika yani. Ni tam sana hii kitu. (Inahitaji mazoezi maana kite do chenyewe kinatakiwa kifanyike faster sana yani.

Aina nyingine ni hii ya kurev match
Uko gear namba 4 afu unataka udownshift kuja gear ya chini uweze overtake gari kwa speed ya ajabu. Kama kawaida unakanyaga clutch ( wakati unakanyaga clutch na kubadili gear, muda huo huo kanyaga accelerator na kuiachia kwa wakati huo huo. (Kitendo hiki kinatakiwa kiwe cha faster sana yani). Ko yani lazima uone speed ya gari imeongezeka na pia utaeza kufanya overtaking uliokua unaikusudia.
We unamix. Mleta mada anazungumzia Automatic wewe unazungumzia manual
 
Gari auto zina gear 4 ya 5 ndo overdrive. For your information.
Unamislead maana overdrive.

1. Gari inaweza kuwa na overdrive gear moja au zaidi.

2. Mfano gari yenye gear 4, Overdrive gear ni gear namba 4 wakati yenye gear 5 overdrive gear ni gear namba 5. Gari yoyote ya kuanzia gear 6 na kuendelea, Overdrive huwa inakuwa gear mbili za mwisho.

3. Kwa kifupi Gear zote ambazo gear ratio yake ni chini ya moja ndio zinaitwa Overdrive gears.
 
Watalaam wenyewe wenye kufahamu magari husema OD ni kama gear ya juu kutoka ile ambayo gari inaishia.ndo maana hata kama ulishafika speed 120 ukaondoa OD unaona gari inavyokuwa nzito na kuanza punguza mwendo. Hapo gari inarudi kwenye gear ya chini yake. Haiwezi ikawa OD ni gear ile ile namba nne ilhali ukiwa gear number 4 ukatoa OD inapungua mwendo.
 
Yaani una overtake kwa gear no 2? Hapa umedanganya watu. Gari ilikuwa gear no 4 unataka muovertake mtu ambaye yupo speed unarudi number 2 eti uongeze speed ya gari yako. Huu mbona uongo wa wazi wazi kabisa? Hujui hizi gari.
Mkuu labda mimi niseme hivi.

1. Gari ikiwa kwenye Overdrive off inachanganya faster sana kuliko ikiwa on. Shida tu muungurumo wa engine utakuwa juu na kama gari ina gear 4 maana yake utaishia kwenye gear namba tatu.

2. Kwa maana hiyo kama unamuovertake mtu aliye kwenye low speed utamuovertake faster overdrive ikiwa Off kuliko ikiwa On. Ila mtu akiwa speed 100kph hutomuovertake ikiwa umeweka Overdrive Off.
 
Watalaam wenyewe wenye kufahamu magari husema OD ni kama gear ya juu kutoka ile ambayo gari inaishia.ndo maana hata kama ulishafika speed 120 ukaondoa OD unaona gari inavyokuwa nzito na kuanza punguza mwendo. Hapo gari inarudi kwenye gear ya chini yake. Haiwezi ikawa OD ni gear ile ile namba nne ilhali ukiwa gear number 4 ukatoa OD inapungua mwendo.

Gari haiwezi kuwa na gear 4 halafu overdrive iwe ya 5. Hakuna kitu kama hicho. Hakipo.
Screenshot_2021-02-13-11-00-03-909_com.android.chrome.jpg

Mfano hiyo picha ni gearbox ya A760E ambayo ina gear 6. Hizo gear sita zote wamekuonesha hapo na gear ratio zake. Gear za kawaida ni 1 mpaka 4. Na overdrive gears ni 5 na 6(ambazo zina gear ratio chini ya 1).

Ukiwa kwenye gear namba 6 ukaweka O/D off gari itarudi kwenye gear namba nne. Ndio maana unasema gari inakuwa nzito.

Lakini haimaanishi kwamba hiyo gearbox ina gear 6 halafu overdrive ni ya 7 hakuna kitu hicho.

Ukiambiwa gari ina gear 8 jua overdrive ipo ndani ya hizo gear 8.
 
Gari haiwezi kuwa na gear 4 halafu overdrive iwe ya 5. Hakuna kitu kama hicho. Hakipo. View attachment 1701304

Mfano hiyo picha ni gearbox ya A760E ambayo ina gear 6. Hizo gear sita zote wamekuonesha hapo na gear ratio zake. Gear za kawaida ni 1 mpaka 4. Na overdrive gears ni 5 na 6(ambazo zina gear ratio chini ya 1).

Ukiwa kwenye gear namba 6 ukaweka O/D off gari itarudi kwenye gear namba nne. Ndio maana unasema gari inakuwa nzito.

Lakini haimaanishi kwamba hiyo gearbox ina gear 6 halafu overdrive ni ya 7 hakuna kitu hicho.

Ukiambiwa gari ina gear 8 jua overdrive ipo ndani ya hizo gear 8.
Nimekwambia its like gear ya 5 though gari ina gears 4 so yenyewe ina "act" kama gear namba 5
 
Back
Top Bottom