Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Maandalizi yanaendelea kumjibu yeye na si kujibu hoja zake. Suala la hoja sidhani kama ni kipaumbele. Ila itabidi ajibiwe hakuna kumwacha hivi hivi.
Wapo vijana ambao hawajifikirii mara mbili mbili wakiambiwa wamjibu Mzee Warioba. Tunawafahamu. Wapo ni kupewa tu go ahead then wamwagie maji taka/matope.
Wazee kama Warioba wasiachwe kuzungumza hivi. Wanayajua mengi na wana uzoefu mkubwa. Kuwaacha hawa ni hatari. Wanaweza kuamsha akili za vijana. Kitu ambacho si kizuri kwa mustakabali wa Taifa hili.
Nashauri list ipangwe na ajibiwe kwa haraka asiwekwe sana kiporo. But kama kutakuwa na ushauri mwingine basi tumbagaze tu. Tumwache na uzee wake unaomjia vibaya. Badala ya kutulia anahangaika na hii nchi. Iliyojichokea.
Tupangeni list ya kumjibu. Hawa wasikosekane kama itampendeza mwenyekiti
1. Ali Hapi
2. Makonda
3. Chalamila
4. Vyama rafiki 14. Viandaliwe mkutano wa kujibu. Vilipiwe ukumbi na kupewa usafiri na posho
5. Uviccm
Na wengineo wenye uelewa unaofanana na hawa na haya makundi.