Huyu mzee mwenye sura mbaya mnafiki sana na kama kweli anaongea ndani ya nafsi yake kitu cha kwanza alitakiwa kujivua uanachama wa CCM kuonesha hakubaliani na hiki chama tena. Kwanini CCM? unajuwa chama ni kundi la watu wenye itikadi moja sio mtu mmoja mmoja, yeye hajawahi kusifu chama chake japo chama wamejaribu kumuheshimisha sana kama waziri mkuu aliyepita na kada wa CCM ila bado chuki binafsi na kuendesha upinzani ndani ya CCM, haaminiki huyu sasa ni wakati ajivue uanachama au avuliwe. Huwezi wewe kutwa unamkosoa mke wako lakini upo tu kwenye ndoa, kama mtu hakufai muache. Unafiki wake ufike mwisho huyu mzee anachuki na zaidi watoto zake kupigwa chini kwenye vyeo huku akidhani ni haki yake watoto zake kupewa nafasi.