Wana hata huo uwezo wa kujibu hoja Hawa wapumbavuu?Jibuni hoja zake siyo kumshambulia yeye.
Hawa UVCCM wa Sasa hivi wapo kwa ajili ya kumshambulia yoyote anayejaribu kupoint out uozo wa chama na serikali.
Yaani hawapo kwa ajili kujenga chama au taifa kama vijana wanaotarajiwa kuwa viongozi wa kesho, Bali wapo kumtetea mama yao Samia pamoja na ushenzi wote unaofanywa na serikali ya Samia.
Wajinga sana hawa
