MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 373
- 895
Tamko lako wewe kama nani? Toka hapaNitatazama press yake huko YOU TUBE ili nije nitoe tamko kuhusiana na alichoongea. Tamko langu ndo utakuwa msimamo wa JF kuhusu alichokiongea Mzee Warioba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamko lako wewe kama nani? Toka hapaNitatazama press yake huko YOU TUBE ili nije nitoe tamko kuhusiana na alichoongea. Tamko langu ndo utakuwa msimamo wa JF kuhusu alichokiongea Mzee Warioba.
Hawa wazee ndo waasisi wa mambo yote ya hovyo halafu sasa hivi wanajitokeza kuongea kinafiki. Huyu unaambiwa alikuwa chawa wa mwalimu haijawahi tokea. Hakuwa mshauri mzuri kwa mwalimu.ni busara zaidi akapuuzwa tu kama ambavyo hufanyika mara zote,
kwasasababu hana athari zozote kisiasa Lakini pia alikua na fursa ya kutengeneza utaratibu mzuri zaidi wa kisheria wa anacholalamikia kisitokee wakti huu kipindi akiwa mamlakani.
vinginevyo ni useless na completely nonsense 🐒
Makonda mtoe hawezi kumjibu Warioba mmejijengea fikra potofu. Ila Ally Happi, Kawaida, Kibajaji, UVCCM, Wasanii kama Steve Mengele, Mwijaku hao wanaweza kujitosa lakini watadunda.Maandalizi yanaendelea kumjibu yeye na si kujibu hoja zake. Suala la hoja sidhani kama ni kipaumbele. Ila itabidi ajibiwe hakuna kumwacha hivi hivi.
Wapo vijana ambao hawajifikirii mara mbili mbili wakiambiwa wamjibu Mzee Warioba. Tunawafahamu. Wapo ni kupewa tu go ahead then wamwagie maji taka/matope.
Wazee kama Warioba wasiachwe kuzungumza hivi. Wanayajua mengi na wana uzoefu mkubwa. Kuwaacha hawa ni hatari. Wanaweza kuamsha akili za vijana. Kitu ambacho si kizuri kwa mustakabali wa Taifa hili.
Nashauri list ipangwe na ajibiwe kwa haraka asiwekwe sana kiporo. But kama kutakuwa na ushauri mwingine basi tumbagaze tu. Tumwache na uzee wake unaomjia vibaya. Badala ya kutulia anahangaika na hii nchi. Iliyojichokea.
Tupangeni list ya kumjibu. Hawa wasikosekane kama itampendeza mwenyekiti
1. Ali Hapi
2. Makonda
3. Chalamila
4. Vyama rafiki 14. Viandaliwe mkutano wa kujibu. Vilipiwe ukumbi na kupewa usafiri na posho
5. Uviccm
Na wengineo wenye uelewa unaofanana na hawa na haya makundi.
Wamjibu nini cha maana alichosema, anaongea kama anatabiri nani huyo aliyemwambia jeshi nitaingilia siasa. eti lisiingilie siasa nani kamwambia, kama sio uchawi. Mzee ana sura mbaya kama roho yake ilivyo. Anawanga mchana. Kama kidume kweli atukane wote sio anatukana taasisi zote hawana maadili ila Raisi hamgusi. Nani anaongoza serikali? unafiki tuNyie wengine huwa hamna wazazi? Hamkulelewa na wazazi? Wewe unaweza kuwa CCM kuliko Warioba? Muogope Mungu kijana. Weka heshima hata kidogo uepuke laana.
Anyway. Hongera sana umeweza mjibu Warioba. Umemshambulia vizuri kweli kama ambavyo tulitaka. Umtukane na kumshambulia kwa maneno makali. Haya sasa waambie watu wenye akili waingie kipengele cha pili. Wamjibu hoja zake. Ndani ya CCM wapo wenye akili huwa tu hatuwapi nafasi. Sisi kama wewe ndo tunapata nafasi sana. Na mimi kama Warioba hatupewi nafasi.
Na haya ndio maneno ya kuongea kuhusu mzee Warioba? Kwamba nyie UVCCM wa Sasa h ndio mna uchungu sana na chama pamoja na taifa kwa ujumla kuliko hata mzee Warioba??Wamjibu nini cha maana alichosema, anaongea kama anatabiri nani huyo aliyemwambia jeshi nitaingilia siasa. eti lisiingilie siasa nani kamwambia, kama sio uchawi. Mzee ana sura mbaya kama roho yake ilivyo. Anawanga mchana. Kama kidume kweli atukane wote sio anatukana taasisi zote hawana maadili ila Raisi hamgusi. Nani anaongoza serikali? unafiki tu
Najiuliza siku Ile Mhe Sinde Waryoba anashambuliwa na Makonda,,, walinzi wake walikuwa wapi ? Kama angepata madhara makubwa wangewajibika au ilipangwa ?Maandalizi yanaendelea kumjibu yeye na si kujibu hoja zake. Suala la hoja sidhani kama ni kipaumbele. Ila itabidi ajibiwe hakuna kumwacha hivi hivi.
Wapo vijana ambao hawajifikirii mara mbili mbili wakiambiwa wamjibu Mzee Warioba. Tunawafahamu. Wapo ni kupewa tu go ahead then wamwagie maji taka/matope.
Wazee kama Warioba wasiachwe kuzungumza hivi. Wanayajua mengi na wana uzoefu mkubwa. Kuwaacha hawa ni hatari. Wanaweza kuamsha akili za vijana. Kitu ambacho si kizuri kwa mustakabali wa Taifa hili.
Nashauri list ipangwe na ajibiwe kwa haraka asiwekwe sana kiporo. But kama kutakuwa na ushauri mwingine basi tumbagaze tu. Tumwache na uzee wake unaomjia vibaya. Badala ya kutulia anahangaika na hii nchi. Iliyojichokea.
Tupangeni list ya kumjibu. Hawa wasikosekane kama itampendeza mwenyekiti
1. Ali Hapi
2. Makonda
3. Chalamila
4. Vyama rafiki 14. Viandaliwe mkutano wa kujibu. Vilipiwe ukumbi na kupewa usafiri na posho
5. Uviccm
Na wengineo wenye uelewa unaofanana na hawa na haya makundi.
Mzee wa watu amepiga kelele muda mrefu kuhusiana na mwenendo wa Chaguzi lakini hajawahi kusikilizwa!Mzee ana hoja, bt natatizika kumuelewa, coz ujambazi ktk chaguzi zetu haujaanza leo, why hakuwahi fanya anachofanya sasa?
Huna huo uwezo mkuu! Aliyoyaongea yote ni kweli.Nitatazama press yake huko YOU TUBE ili nije nitoe tamko kuhusiana na alichoongea. Tamko langu ndo utakuwa msimamo wa JF kuhusu alichokiongea Mzee Warioba.
Hapa naona umeanza ishambulia hadi sura yake. Hii inaonesha CCM ina vijana wapo kuipigania.Wamjibu nini cha maana alichosema, anaongea kama anatabiri nani huyo aliyemwambia jeshi nitaingilia siasa. eti lisiingilie siasa nani kamwambia, kama sio uchawi. Mzee ana sura mbaya kama roho yake ilivyo. Anawanga mchana. Kama kidume kweli atukane wote sio anatukana taasisi zote hawana maadili ila Raisi hamgusi. Nani anaongoza serikali? unafiki tu
Ni kumtukana tu maoni yake au hoja zake haina haja ya kujibu. Tutamtukana yeye na kukosoa hata alivyoumbwa. Sisi tunaipenda sana CCM huyu mzee anajua nini kuhusu Chama? Sisi ndo tunakijua chama tumetoka nacho mbali.Badala ya kufanyia kazi maoni yake, wao wanapanga kumtukana
Kwa sababu hakikuwahi kutokea kama kilichotokea 2019, 2020 na mwaka huu!Mzee ana hoja, bt natatizika kumuelewa, coz ujambazi ktk chaguzi zetu haujaanza leo, why hakuwahi fanya anachofanya sasa?
umeeleza ukweli sana comradeHawa wazee ndo waasisi wa mambo yote ya hovyo halafu sasa hivi wanajitokeza kuongea kinafiki. Huyu unaambiwa alikuwa chawa wa mwalimu haijawahi tokea. Hakuwa mshauri mzuri kwa mwalimu.

Nadhani ungemuuliza huyu mzee wako mwanga wakati wa JPM alikuwa wapi? alisema nini kuhusu uchaguzi? ukija na majibu nitakujibu.Na haya ndio maneno ya kuongea kuhusu mzee Warioba? Kwamba nyie UVCCM wa Sasa h ndio mna uchungu sana na chama pamoja na taifa kwa ujumla kuliko hata mzee Warioba??
Yaani hii comment yako inaonesha jinsi gani upumbavuu, ujinga, malezi ya ovyo pamoja na elimu duni ulivyonavyo kiasi Cha kuonekana hauna tofauti na kichaa.
Wewe acha kuleta kashifa za kipuuzi hapa, jibu hoja zake.
Kwanini kwenye uchaguzi huu wagombea walionekana Wana dosari na hatimae kuwa disqualified walikuwa ni wagombea wa vyama vya upinzani tu? Ina maana huko CCM wagombea wake wote hawakuwa na dosari za majina kama zile walizokuwa nazo wapinzani?
Yes sababu ana sura mbaya kama roho yake ilivyokuwa mbaya. Shida ya huyu mzee alikuwa wapi wakati wa JPM anawavuruga wapinzani? alisema nini? Mzee shida yake kubwa anachuki na wa Zanzibar hii ya Rais kutoka kule inamnyima usingizi. Mzee mwanga wa mchana amekuwa kama bundi kutabiri nuksi.Hapa naona umeanza ishambulia hadi sura yake. Hii inaonesha CCM ina vijana wapo kuipigania.
Steve Nyerere.Maandalizi yanaendelea kumjibu yeye na si kujibu hoja zake. Suala la hoja sidhani kama ni kipaumbele. Ila itabidi ajibiwe hakuna kumwacha hivi hivi.
Wapo vijana ambao hawajifikirii mara mbili mbili wakiambiwa wamjibu Mzee Warioba. Tunawafahamu. Wapo ni kupewa tu go ahead then wamwagie maji taka/matope.
Wazee kama Warioba wasiachwe kuzungumza hivi. Wanayajua mengi na wana uzoefu mkubwa. Kuwaacha hawa ni hatari. Wanaweza kuamsha akili za vijana. Kitu ambacho si kizuri kwa mustakabali wa Taifa hili.
Nashauri list ipangwe na ajibiwe kwa haraka asiwekwe sana kiporo. But kama kutakuwa na ushauri mwingine basi tumbagaze tu. Tumwache na uzee wake unaomjia vibaya. Badala ya kutulia anahangaika na hii nchi. Iliyojichokea.
Tupangeni list ya kumjibu. Hawa wasikosekane kama itampendeza mwenyekiti
1. Ali Hapi
2. Makonda
3. Chalamila
4. Vyama rafiki 14. Viandaliwe mkutano wa kujibu. Vilipiwe ukumbi na kupewa usafiri na posho
5. Uviccm
Na wengineo wenye uelewa unaofanana na hawa na haya makundi.
Jibuni hoja zake siyo kumshambulia yeye.Kwa HERUFI KUBWA NAKUPONGEZA KWA KUANDIKA HASA MZIZI WA HUYU MZEE KUA MNAFIKI LEO NIMEPATA JIBU KILA MARA NILIKUA NAA ATTRIBUTES KITU GANI ANAJCHOFANYIA BIFU LEO NIMEKIPATA NA CCM WAMBANIE HV HV ANA LISURA KAMA NYARWANDA ANATAKA KUANZISHA CHOKO CHOKO HATA AKIONGEA UNAONA HASIMAMII ANACHOMAANISHA JIBU AJIVUE CCM KWANZA
hakuna haja kumshambulia au kumpiga mawe yeyote nchi hii ya amani gentleman,Tuendelee kumshambulia Mzee Warioba. Na angekuwa karibu hata tungempiga mawe. Tusiache mshambulia na kumtukana mpaka akome kuwa anaongea ukweli. Anatakiwa abadilike ajifunze kusema mitano tena.

gentleman,Kwani huamini kama dunia ina mwisho?
Mzee anaongea ukweli japo mnauchukia ukweli huwo kwasababu ya maslahi yenu binafsi.