Hiyo list yako uliyoitaja hapo unadhani Yupo kweli aliyeielewa speech ya yule Mzee?
Unataka wajibu Kwa Facts au Mihemuko? Kama Kwa Facts hao vijana wako uliowataja hawawezi kukupa .
Ila kama kumshambulia na kumbagaza kazi hiyo ni nyepesi kwako.
Lakini nao kama walikwenda Darasani wakasoma na wakaelimika hawawezi kukubali hiyo Approach yako, watataka wafanye analysis ya kile Mzee alisema.
Kama Taifa pia siyo wajinga kihivyo na ni waelewa Kwa kiwango kikubwa sana kiasi kwambawanajua Kwa kina propaganda ni Zipi na Facts ni Zipi.
Ulisema atawafungua vijana wataelewa sijui Nini, hao vijana sijui ni wa Nchi gani, kama ni Hawa wa Tanzania siyo mbumbu kihivyo.
Lakini Vijana uliowataja wa kujibu hoja za Mzee Kwa njia ya Mipasho sidhani kama personality yao Iko hivyo, na sijui Kwa Maelekezo ya nani.
Kwa uelewa Zaidi tengeneza Survey chart hapa watu wapige kura za wazi hapa kwenye jukwaa uone wangapi wanaunga Mkono hoja za Mzee na wangapi wanakataa.
Vinginevyo utakuwa umejiweka hadharani personality yako jinsi ilivyo na utaishia kutukanwa TU hapa kwenye jukwaa