This time CCM wala wasimpuuze achukuliwe hatua kama mwana CCM yoyote akitoka hadharani na kukisema chama, CCM au chama chochote kina njia ya kukosoana na yeye kwa nafasi yake angeweza kufikisha ujumbe lakini kwa kuwa anatumika dhidi ya CCM inabidi awajibishwe. Yeye ningemuona wa maana angetoka na kusema kwa mwenendo huu mimi najivua uanachama wa CCM sababu sikubaliani na siasa hizi, yupo busy kutoka kuona CCM inaanguka na bado kabeba kadi ya chama. Huyu mzee ni wakati kupigwa chini mwacheni afe sura kakunja hakuna kumpa heshima yoyote kwenye mikutano au hafla yoyote piga chini acha akavae gwanda.