Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Habari wakuu.
Naomba kufahamu utaratibu ukoje iwapo ndugu yako akifariki na akaacha bunduki aliyokua anaimiliki kihalali, je inarudishwa wapi ama inaweza kuuzwa kwa mtu mwingine ama kurithishwa kwa mtu mwingine?
Natanguliza shukrani.