Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Unarithi lkni kibali hakirithiwi, mrithi ni lazima apate kibali cha kuimiliki silaha hiyoKama alikuwa anamiliki kihalali basi hiyo nayo ni moja kati ya Mali za marehemu.
Itahitajika kurithiwa na yeyote kwenye family.
unapeleka polisi then next of kin anatuma maombi kuirithi
kabisa Mkuu😁, huwa kuna atua ya kuthibitisha soundness ya muhusika na mashahidi lazima wawepo wathibitishe huyu jamaa dish linashika,process ni ndefuWhen next of kin akiwa “sound mind” ila kama ni mtambo wa gongo hapo utata![emoji28]
Hamzanaization itafuhata hapo[emoji28][emoji28]Unaichukua afu unaipeleka centre yeyote iliyo jilan.huku ukiwa umeishika vizuri kidole kikiwa kwenye trigger huku mtutu ukiwa umeelekeza mlango wa kuingilia central...mavazi jitahidi kuvaa yanayofanana fanana na ya chadeema hiv...utanishukuru baadae mkuu
Waweza fanya mambo mawili Kati ya hayaHabari wakuu.
Naomba kufahamu utaratibu ukoje iwapo ndugu yako akifariki na akaacha bunduki aliyokua anaimiliki kihalali, je inarudishwa wapi ama inaweza kuuzwa kwa mtu mwingine ama kurithishwa kwa mtu mwingine?
Natanguliza shukran.
Habari wakuu.
Naomba kufahamu utaratibu ukoje iwapo ndugu yako akifariki na akaacha bunduki aliyokua anaimiliki kihalali, je inarudishwa wapi ama inaweza kuuzwa kwa mtu mwingine ama kurithishwa kwa mtu mwingine?
Natanguliza shukran.
kiba tala mnamjua lakini....???akikaa upande ule atawatoa K O na maandish yenuUmapeleka polisi pamoja na.kibali chake cha umiliki
Wanapokea kwa maandishi.Kama kuna mtu anayetaka kuridhi anafuata taratibu