Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Anaongea utadhani mtoto ni bodaboda.Mtoto sio Mali yako mtoto ni WA serikali hatakama ulienda leba wewe....Baba akienda kutafuta Haki serikalini unaweza ukaachwa mdomo wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaongea utadhani mtoto ni bodaboda.Mtoto sio Mali yako mtoto ni WA serikali hatakama ulienda leba wewe....Baba akienda kutafuta Haki serikalini unaweza ukaachwa mdomo wazi
Eeeeeh nimekuwa mkali tena looooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vyotevyote tu. na ulivokuwa mkali inachangia.[emoji16][emoji16][emoji16]
We na wewe muoneSay that again young lady.
Sijui kama umetafiti labda ni kwasababu una uelewa mdogo wa hicho unachomaanisha.Sio kina mama wote wapo ivo,hiyo unayosemea ni baadhi tu,wa mama wengi ni wenye mapenzi na watoto wao.mwanamme akipewa mtoti wake alee,lazima ataomba msaada kwa mama yake,dada ake au mfanya kazi wa ndani,sasa hao unaawaamini zaidi kwa mwanao kuliko mzazi alomzaa??
Sasa kama kupiga picha ndio kulea uwe unamuachia baba yao nae apige nao picha ili iwe ndio namna yake ya kulea na wewe.Eeh..watajua hawajui... Shwain kabisaa!! Kama sijui kulea angeonekana hata kwenye hiyo picha?
Napiga nao picha coz their my pride! Hapo utakuta libaba lisilohudumia hata 100 linakuja kuiba picha..hahahahaa!
kupiga picha ni matokeo ya malezi mema, so Yeye atasubiri tuu za kuibia bia..maana kulea kumeshamshinda.Sasa kama kupiga picha ndio kulea uwe unamuachia baba yao nae apige nao picha ili iwe ndio namna yake ya kulea na wewe.
Sasa umeongea nini?Una shilingi ngapi kwenye account yako. Kama our kids is our everything ungeanza kwa kuwaheshimu kwa kuwajengea mazingira ya familia bora ili waje kufurahia dunia.
Sio mtoto anashangaa kila mwezi anabadilishiwa baba tofauti.
Wewe mahusiano ya Ex wako yanakuhusu nini...Wewe focus kwenye malezi ya mwanao.Acha kutafuta visingizio.Hakunaga mwanaume asikuwa na ufahari katika kulea mtoto wake. Shida inaanza na misotojo yenu isiyo na mbele wala nyuma.
Hamna focus nzuri ya mahusiano. Wewe baba mtoto unagombana nae halafu unaanza kujihusisha na wanaume wengine halafu utegemee ashirikiane na wewe kimalezi utakuwa haupo sawa kichwani.
Jiheshimu in the first place mwanaume hatotoka nje hata iwaje.
Huh ndo unampa Tsh2,000 ya mboga[emoji23][emoji23][emoji23]....Hamko seriousSasa mtoto anatakiwa kula nini kiafya wadhani, baga?!
UtopoloSasa umeongea nini?
Unaweza kudhani ni u-strong kumbe ni utasa tehSijui kama umetafiti labda ni kwasababu una uelewa mdogo wa hicho unachomaanisha.
Mimi ni kitu nimeobserve siongei hapa kwasababu nasikia watu wanasema au nimehadhithiwa ni jambo naona.
Unaweza sema unampenda mtoto ila matendo yako ni zero hiyo inamaanisha kuwa wewe ni muongo na haupo serious.
Mwanamke au mwanaume aliyeserious na mtoto au familia yake utaona matendo yake. Hutosikia mtoto anaumwa, hutosikia mtoto anapitia sijui hali gani.
Wanawake wa siku hizi picha linaanza unamkabidhisha mtoto kwa housegirl ndio awe mlezi wako au mama yako akulelee wewe kazi kupuyanga na maisha kufanya purukushani ambazo ukipima mwaka mzima umeingiza nini unaona hakuna la maana umepoteza muda wako tu.
Unampima mwanamke au mwanaume mapenzi yake kwa mtoto kutokana na namna anachagua mama au baba wa mtoto.
Wewe unaenda kutana na mvuta bangi huko vichochoroni halafu unakuja tuambia unapenda mtoto kwa kumpa malezi ya misukosuko.
Kuna mabinti wapo very strong and nawapa heko hawajakubali kuzaa kibwege nje ya mahusiano halali hadi leo wakijua hasara yake.
So achana na maneno ya kusema unapenda mtoto au watoto kama haujawatengenezea mazingira mazuri ya familia ya baba na mama. Hayo mengine ni maigizo tu.
Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa,Habari zenu,
Husika na kichwa cha habari
Kila siku wanalalamika haki sawa kwa wote yaani kwa wanaume na wanawake; haki sawa kwa kila sehemu kila secta hivi wanamaanisha kweli?
Mmebahatika kupata mtoto na baada ya mda mchache mmetofautiana na ikatokea mkaachana na kuishi tofauti Baba kwake na Mama kwake.. wewe kama Baba unaomba uende na mtoto Mama kwa nafasi yake anamng’ang’ania mtoto na kutaka kukaa nae ; poa unakubali kama Baba .. sasa anaanza kudai huduma kinguvu na kutwa vituo vya jamii kwenda kukushitaki sasa hapa haki sawa inatokea wapi?
Sasa mtoto ni wetu sote iweje Nimuhudumie peke yangu? Haki sawa inapotea hapa na anakandamizwa Baba.. na huduma unatoa na anaendelea tu kukusumbua na maamuzi ya kuachana alitaka yeye au anajiona alikosea maamuzi.
Mtoto nimemuomba aje aishi kwangu Mama anakataa na mtoto anauwezo mpaka wa kwenda shule mwenyewe na kurudi mwenyewe yaani ni kakubwa tu, basi tutoe huduma wote wewe mwezi mmoja na mimi mwezi mmoja, yaani anafanya mpaka mambo yako haufanyi kwa utulivu mpaka mtu uliyenaye mpya kwenye mahusiano anajihisi vibaya.
Sio wote ila baadhi yenu badilikeni mkikimbiwa kabsa mnamjaza mtoto sumu kuwa Baba yako alikukataa na wengine mnasingizia kabsa Baba yako alikufaga.. jiangalieni
Asante
Kwan wanawake wa siku hiz hawaombi msaada kwa mahousegirl? Tena unakuta hajui ata kama mtoto wake kaoga ula yeye kila kitu ni ku-order tu dada muogeshe mtoto dada mtoto amekula? Dada mtoto kalala ? Hakuna anachojihusisha nae ata anapokuwa nyumbanSio kina mama wote wapo ivo,hiyo unayosemea ni baadhi tu,wa mama wengi ni wenye mapenzi na watoto wao.mwanamme akipewa mtoti wake alee,lazima ataomba msaada kwa mama yake,dada ake au mfanya kazi wa ndani,sasa hao unaawaamini zaidi kwa mwanao kuliko mzazi alomzaa??
Wanaupima upendo kwa kuconsider materials things kama walivyo pima upondo kwa waliozaa nao. Wanasahau kuwa upendo kwa mtoto unaangalia mambo mengo zaidi ya vitu unavyo mnunuliaSijui kama umetafiti labda ni kwasababu una uelewa mdogo wa hicho unachomaanisha.
Mimi ni kitu nimeobserve siongei hapa kwasababu nasikia watu wanasema au nimehadhithiwa ni jambo naona.
Unaweza sema unampenda mtoto ila matendo yako ni zero hiyo inamaanisha kuwa wewe ni muongo na haupo serious.
Mwanamke au mwanaume aliyeserious na mtoto au familia yake utaona matendo yake. Hutosikia mtoto anaumwa, hutosikia mtoto anapitia sijui hali gani.
Wanawake wa siku hizi picha linaanza unamkabidhisha mtoto kwa housegirl ndio awe mlezi wako au mama yako akulelee wewe kazi kupuyanga na maisha kufanya purukushani ambazo ukipima mwaka mzima umeingiza nini unaona hakuna la maana umepoteza muda wako tu.
Unampima mwanamke au mwanaume mapenzi yake kwa mtoto kutokana na namna anachagua mama au baba wa mtoto.
Wewe unaenda kutana na mvuta bangi huko vichochoroni halafu unakuja tuambia unapenda mtoto kwa kumpa malezi ya misukosuko.
Kuna mabinti wapo very strong and nawapa heko hawajakubali kuzaa kibwege nje ya mahusiano halali hadi leo wakijua hasara yake.
So achana na maneno ya kusema unapenda mtoto au watoto kama haujawatengenezea mazingira mazuri ya familia ya baba na mama. Hayo mengine ni maigizo tu.
Hapa unapotoka sana. Hii kitu ni yakuzingatia sana maana mtu aliye kwenye mahusiano na mzazi mwenzio anaweza kuhathiri pakubwa sana malezi/maadili ya mtoto wenuWewe mahusiano ya Ex wako yanakuhusu nini...Wewe focus kwenye malezi ya mwanao.Acha kutafuta visingizio.
Unyama sana hapa [emoji3][emoji3]Mkuu,SIRI ni moja tu.Mtoto akitaka matunzo lazima aje kwako kila week end muonane mcheze umnunulie zawadi kisha unga kilo mbili na mchele kilo mbili na buku mbili ya mboga.Tena unampa mtoto.Full stop.Hataki ujue ni kiranga hicho
Ni kweli, lakini na mimi kwa ustawi wa mwanangu, siwezi kuanza kutoka na mwanaume asiyeeleweka.Hapa unapotoka sana. Hii kitu ni yakuzingatia sana maana mtu aliye kwenye mahusiano na mzazi mwenzio anaweza kuhathiri pakubwa sana malezi/maadili ya mtoto wenu
Yani mwanaume ushindwe kumhudumia mtoto ako.....alaf uende kudai haki mahakamani ni kujidhalilishaMtoto sio Mali yako mtoto ni WA serikali hatakama ulienda leba wewe....Baba akienda kutafuta Haki serikalini unaweza ukaachwa mdomo wazi
SawA mkuu nmekuelewaKumhudumia ni swala moja. Malezi ya maadili ni jambo jingine. Unaona kama akina shilole, kajala, auntie Ezekiel, etc hawa watoto wao wanakula vizuri na wanavaa na kusomeshwa ila yale malezi ni mwanaume mpumbavu tu atakubali mtoto wake apitie hata kama mama mtu atang'ang'ania.
Huwezi kaa na mtoto wa mwanaume anaejitambua halafu unaishi maisha ya kukosa maadili na yeye akakuachia. Yaani uniharibie tabia ya mtoto kisa unataka tu kukaa nae. Mimi nitakunyang'ata tu. Na kama ni mwanamke unaejitambua nitaanzaje kukuacha na ni mama mzuri kwa watoto wangu na ni mke serious.
So inaanza na wewe mwanamke. Userious wako ndio utaamua hatima ya mahusiano yako.