Utaratibu wa chama umevunjwa, Je, itakuwaje kwa utaratibu wa Nchi?

Ikiwa anaweza kuvunja utaratibu wa chama chake mchana kweupe na wanachama wake wengi wakakaa kimya, Je, ataweza kuheshimu na kufuata utaratibu wa Nchi?
Mkutano Mkuu wa CCM ndio mamlaka kuu ya mwisho, una mamlaka ya kubadili chochote kwa kufuata taratibu ua bila kufuata taratibu, na maamuzi ya mkutano huo ni uamuzi wa mwisho hauwezi kuhojiwa na mamlaka yoyote, hivyo uamuzi huo unahalalishwa na ile kanuni ya the end justify the means kuhalalisha uamuzi wa mkutano kuwa ni halali!.

The same thing kimekuwa kinafanywa na serikali yetu na Bunge letu, linatunga sheria batili, limeibadili katiba yetu kiubatili na kuchomekea batili ndani ya katiba yetu!, hakuna mamlaka yeyeto anayepiga kelele, zaidi ya sisi humu jf!. Bunge halina mamlaka kubadili hata neno moja kwenye katiba bila mabadiliko madogo ya katiba!. NEC ni zao la katiba, tumeivunja NEC na kuunda INEC kwa mabadiliko ya kawaida ya sheria, hivyo tunakwenda kwenye uchaguzi kwa kusimamiwa na INEC huku kwenye katiba hakuna INEC bado kuna NEC!, na wote tumenyamaza!.

Baada kufanyika kilichofanyika kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, mimi nilichukua initiative ya kumuandikia Dada barua Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa haikusaidia kitu!.

P
 
wewe ukiona mtu amepata nafasi kwa mujibu wa Katiba, Akala kiapo cha kuilinda na kuihifadhi Katiba, kisha muda sio mrefu anakwambia "Katiba ni kakijitabu tu"

mtu mweusi anaishi kwenye laana kali sana

safari hii HATOBOI. nimekaa pale
 
Utaratibu gani umevunjwa?, mnapenda sana kuendekeza tabia za kitoto za kujiliza bila ya sababu. Stupid mindsets.
 
wewe ukiona mtu amepata nafasi kwa mujibu wa Katiba, Akala kiapo cha kuilinda na kuihifadhi Katiba, kisha muda sio mrefu anakwambia "Katiba ni kakijitabu tu"

mtu mweusi anaishi kwenye laana kali sana

safari hii HATOBOI. nimekaa pale
Alipohudumu muhula wake wa pili hayati JPM nani mwingine alimchukulia fomu ya kuwa mgombea mwenza?.

Lakini mwaka 2015 JPM alishindanishwa na wagombea wawili wengine, Asha Rose Migiro na Amina Salum Ali. mwaka 2020 akamalizia mihula yote miwili hivyo hapakuwa na sababu ya mgombea mwingine kuchukua fomu.

Mwaka 2005 JK alishindanishwa na wagombea wawili waliofika tatu bora, Salim Ahmed Salim na Frederick Sumaye, mwaka 2010 JK aliendeleza awamu yake akaimaliza mwaka 2015.

Samia anaongoza awamu inayoitwa ya sita kwa sababu ni kipindi cha zaidi ya miaka minne madarakani, almost muhula wote wa pili wa JPM kauongoza Samia na katiba ya JMT inasema endapo Rais ataaga dunia yule mrithi wake atamalizia uongozi wa nchi.

Hapakuwa na sababu kwa Samia kupingwa ndani ya CCM kwani anaingia kumalizia ngwe yake ya pili ya urais ya kwanza aliianza March 2021, hakuna anayeweza kumpinga kwa sababu utaratibu wa kutompinga rais anayemalizia muhula wa pili haupo ndani ya CCM.

Jifunzeni kwa kina kabla hamjaruhusu mapovu yakazitawala akili zenu.
 
Ikiwa anaweza kuvunja utaratibu wa chama chake mchana kweupe na wanachama wake wengi wakakaa kimya, Je, ataweza kuheshimu na kufuata utaratibu wa Nchi?
utaratibu wa nchi kuvurugwa huyu hatokua wa kwanza
 
Kichwani mwako umejaza mambo yanayohusu jicho la 4. Huna cha maana unachokitoa
Ni mambo ya jicho la tatu na sio la 4!. Mimi kazi yangu kwanza kama mtu ni kusema!, kwenye kusema , nimesema sana na naendelea kusema kila nikipata fursa!. Mimi kama mwandishi wa habari, kazi yangu ni kuandika, hivyo mimi kama mwandishi nimeandika sana, kila wiki nina makala magazeti ya Mwananchi na Nipashe, naandika sana tuu. Mimi kama mtangazaji, kazi yangu ni kutangaza, na kama ni kutangaza, nimetangaza sana!. Kwenye maeneo yangu hayo yote matatu, yaani Pasco mwananchi, Pasco mwandishi wa habari na Pasco mtangazaji, kiukweli kabisa, nimetimiza wajibu wangu kikamilifu.

Na imetokea mimi kujaaliwa ka uwezo fulani ka ziada, nikipandisha bandiko humu kumlenga mtu fulani, huyo mtu akisoma, mimi ninajua amesoma!, mfano mzuri ni hii Barua kwa dada yangu fulani Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa aliisoma ila sijui kama aliieelewa kwasaba hata kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, nilituma ujumbe huu, Pre GE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa! ujumbe huo ulisomwa ila haukueleweka, hivyo hizo mutatis mutandis ziliendelea.

Wote tunalijua hili mbona sasa kama unajitambulisha upya? Au hujiamini kuwa unafanya kazi hiyo?
 
Mkutano Mkuu wa CCM ndio mamlaka kuu ya mwisho, una mamlaka ya kubadili chochote kwa kufuata taratibu ua bila kufuata taratibu, na maamuzi ya mkutano huo ni uamuzi wa mwisho hauwezi kuhojiwa na mamlaka yoyote, hivyo uamuzi huo unahalalishwa na ile kanuni ya the end justify the means kuhalalisha uamuzi wa mkutano kuwa ni halali!.

The same thing kimekuwa kinafanywa na serikali yetu na Bunge letu, linatunga sheria batili, limeibadili katiba yetu kiubatili na kuchomekea batili ndani ya katiba yetu!, hakuna mamlaka yeyeto anayepiga kelele, zaidi ya sisi humu jf!. Bunge halina mamlaka kubadili hata neno moja kwenye katiba bila mabadiliko madogo ya katiba!. NEC ni zao la katiba, tumeivunja NEC na kuunda INEC kwa mabadiliko ya kawaida ya sheria, hivyo tunakwenda kwenye uchaguzi kwa kusimamiwa na INEC huku kwenye katiba hakuna INEC bado kuna NEC!, na wote tumenyamaza!.

Baada kufanyika kilichofanyika kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, mimi nilichukua initiative ya kumuandikia Dada barua Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa haikusaidia kitu!.
Lakin mabadiliko ya Jana ya chama Cha Mapinduzi yalikuwa yamhm sana. Yale mabadiliko yatasaidia kutenda haki, Kuna majimbo utakuta watu zaidi ya watano wanakubalika je! Kwann upeleke majina matatu tu? Hao wawili waliobaki watajiskiaje?
Kwahyo kupeleka majina matatu ni kufanya kila mtu aone kweli ameshindwa au ameshinda kwa haki
 
Mkutano Mkuu wa CCM ndio mamlaka kuu ya mwisho, una mamlaka ya kubadili chochote kwa kufuata taratibu ua bila kufuata taratibu, na maamuzi ya mkutano huo ni uamuzi wa mwisho hauwezi kuhojiwa na mamlaka yoyote, hivyo uamuzi huo unahalalishwa na ile kanuni ya the end justify the means kuhalalisha uamuzi wa mkutano kuwa ni halali!.

The same thing kimekuwa kinafanywa na serikali yetu na Bunge letu, linatunga sheria batili, limeibadili katiba yetu kiubatili na kuchomekea batili ndani ya katiba yetu!, hakuna mamlaka yeyeto anayepiga kelele, zaidi ya sisi humu jf!. Bunge halina mamlaka kubadili hata neno moja kwenye katiba bila mabadiliko madogo ya katiba!. NEC ni zao la katiba, tumeivunja NEC na kuunda INEC kwa mabadiliko ya kawaida ya sheria, hivyo tunakwenda kwenye uchaguzi kwa kusimamiwa na INEC huku kwenye katiba hakuna INEC bado kuna NEC!, na wote tumenyamaza!.

Baada kufanyika kilichofanyika kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, mimi nilichukua initiative ya kumuandikia Dada barua Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa haikusaidia kitu!.

P
Ili awataki kulisikia wala kulisoma wenzetu wa NRNE ujue.. yaaani basi tu
 
Back
Top Bottom