Utaratibu wa chama umevunjwa, Je, itakuwaje kwa utaratibu wa Nchi?

Utaratibu wa chama umevunjwa, Je, itakuwaje kwa utaratibu wa Nchi?

Utaratibu gani umevunjwa?, mnapenda sana kuendekeza tabia za kitoto za kujiliza bila ya sababu. Stupid mindsets.
Unajua maana ya utaratibu lakini mkuu?
Ukitaka kuwajiri watu na unajua sifa za Mr y zinatosha kuwa candidate utaacha kufuata utaratibu wa recruitment kwa sababu huyo unayemjua yupo au utampima na wengine ili ujiridhishe na unavyomjua?
Kumbe ukiwa chawa unakuwa mpuuzi hivi?
 
Naomba usikumbushe...
P
MV5BNTljZDllNDEtODFjZi00Mzc2LWI5ZTItMTAxZjNiNTNlNTM2XkEyXkFqcGc@._V1_.jpg
 
Unajua maana ya utaratibu lakini mkuu?
Ukitaka kuwajiri watu na unajua sifa za Mr y zinatosha kuwa candidate utaacha kufuata utaratibu wa recruitment kwa sababu huyo unayemjua yupo au utampima na wengine ili ujiridhishe na unavyomjua?
Kumbe ukiwa chawa unakuwa mpuuzi hivi?
Kutoa mapovu ni kawaida yenu. Samia anakwenda kuchukua Fomu August 27 mwezi ujao Samia atazunguka nchi nzima. Punguza munkari mkuu.

Samia hajavunja utaratibu wowote yupo kwa mujibu wa katiba na ataondoka kwa mujibu wa katiba hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom