Unajua maana ya utaratibu lakini mkuu?
Ukitaka kuwajiri watu na unajua sifa za Mr y zinatosha kuwa candidate utaacha kufuata utaratibu wa recruitment kwa sababu huyo unayemjua yupo au utampima na wengine ili ujiridhishe na unavyomjua?
Kumbe ukiwa chawa unakuwa mpuuzi hivi?