SOTI
Member
- Sep 9, 2011
- 79
- 22
Ni mara kadhaa Sasa Chuo cha Wizara ya mifugo LITI Morogoro kimekuwa kinawafukuza wanafunzi ambao hawajamalizia ada ya semista ya Pili. Utaratibu huu ni kuwabagua kielimu hasa wanafunzi wanaotoka familia maskini. Watoto hawa wameskika wakimtaja mkuu wa Chuo kuwa kawambia kama hawana ada warudi nyumbani. Hali hii haikubaliki. Mamlaka husika fuatilieni hili. Hiki ni Chuo cha Umma