KERO Utaratibu wa gharama za parking ni mbovu sana kwa Arusha

KERO Utaratibu wa gharama za parking ni mbovu sana kwa Arusha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Inakuaje mtu hupatiwi ticket ? wanapita na machine kwenye magari wanakatisha parking lakini hawaweki karatasi kumjulisha mwenye gari kua amekatiwa Parking. Hii inasabaabisha madeni makubwa ambayo kiuhalisia mtu alikua hajui kama anadaiwa.

Inasababisha Usumbufu mkubwa sana.
 
Mh. Paul Makonda atalimaliza hilo kwa mikono yake mwenyewe usijali
 
Back
Top Bottom