Nakumbuka nilianikwa na Mimi nataka wengine waanikwe.
Wanaoanikwa ni watoto wa maskini, maharamia maarabu yanalindwa tena kwa kodi zetuMiaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza.
Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu?
Nonsense in my opinion!
Wanakua ni watuhumiwa sio wahalifu, Mahakama ndio yenye mamlaka ya kutamka na kuthibitisha kuwa wewe ni jangili au lahMiaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza.
Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu?
Nonsense in my opinion!
Na serikali ya majizi ya CCMWanaoanikwa ni watoto wa maskini, maharamia maarabu yanalindwa tena kwa kodi zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafuata ule msemo kwamba wale ni WATUHUMIWA bado.Miaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza.
Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu?
Nonsense in my opinion!
Siku ungeanikwa wewe kwa kesi ya kubambikiwa ndio akili zingekurudia, maana huna akili.Miaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza.
Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu?
Nonsense in my opinion!
ilikuwa ni kesi halisi au ya kusingiziwa??Aisee pole sana
That is sad ila nashauri utsratibu ule uendelee ili hata huku mitaani vibaka wawekwe hadharaniWanaoanikwa ni watoto wa maskini, maharamia maarabu yanalindwa tena kwa kodi zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu baadae mahakama inampata hana hatia, hizo fidia analipa naniMiaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza.
Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu?
Nonsense in my opinion!
Well but i hope they have been proved guilty before presenting them to the media! Shida iko wapi hapo? Mhalifu ameshathibitika then kumtangaza ni kukiuka haki?????Innocent till proven guilty.
Ndipo hapo ninaposimamia mimi. Kama mahakama haijathibisha kosa haifai kumwanika mtu kama mkosaji. But what if mahakama imethibitisa?? Watu hawa waanikwe hadharani iwe adhabu yao ya milele.Wanakua ni watuhumiwa sio wahalifu, Mahakama ndio yenye mamlaka ya kutamka na kuthibitisha kuwa wewe ni jangili au lah
Mahakama ndio inayothibitisha someone is guilty.Well but i hope they have been proved guilty before presenting them to the media! Shida iko wapi hapo? Mhalifu ameshathibitika then kumtangaza ni kukiuka haki?????
Basi hapo kuna shida. Pendekezo langu: MTU AKISHATHIBITIKA MAHAKAMANI kwamba ni mhalifu AANIKWE WAZI HATA KWA MUMTEM EZA MITAANII KWENYE GARI LA WAZI WATU WAMUONE. Adhabu hii ni kali zaidi ya kumfungia mtu keenye nyumba ( gereza). It is morally challenging.Wanafuata ule msemo kwamba wale ni WATUHUMIWA bado.