Utaratibu wa Jeshi la Polisi kuwaanika wahalifu kwenye Televisheni kwa nini ulifutwa?

Utaratibu wa Jeshi la Polisi kuwaanika wahalifu kwenye Televisheni kwa nini ulifutwa?

Ukiwa chini ya ulinzi wa chombo chochote cha ulinzi na usalama sio kwamba unakuwa ni muhalifu, mahakama ndio yenye Mamlaka ya kuthibitisha hayo, ilikuwa haimake sense kisheria nadhani
 
Siku ungeanikwa wewe kwa kesi ya kubambikiwa ndio akili zingekurudia, maana huna akili.

Ina maana hata Jana Rais kapokea report ya haki jinsi hujui chochote kinachoendelea?

Kuna watu hamna matumizi na ubongo.
Nashukuru kwa andiko lako. Niko makini na mambo yote japo umeniita mtu asiye na akili na hiyo ripoti nimeipitia. Naomba ujibu maoni yangu kwa AKILI.
 
Siku ungeanikwa wewe kwa kesi ya kubambikiwa ndio akili zingekurudia, maana huna akili.

Ina maana hata Jana Rais kapokea report ya haki jinsi hujui chochote kinachoendelea?

Kuna watu hamna matumizi na ubongo.
Sikusema jesu ya kubambikiwa . Namaanisha kosa halisi lililothibitika mahakamani
 
Ule ulikuwa ni utaratibu haramu kwa 100%. Polisi wakimkata mtu, huyo ni mtuhumiwa, wampeleke mahakamani huko polisi na mtuhumiwa wataanikana hadharani.
Nimeuliza kuhusu MHALIFU siyo MTUHUMIWA
 
Hao sio wahalifu ni watuhumiwa,mtu anaweza akafanyiwa setup tu kwenye tukio.
 
Ndipo hapo ninaposimamia mimi. Kama mahakama haijathibisha kosa haifai kumwanika mtu kama mkosaji. But what if mahakama imethibitisa?? Watu hawa waanikwe hadharani iwe adhabu yao ya milele.
Hahahaha nimekuelewa
 
Mambo mengine haya mnatakaga kujua ni nyeti sana! Achaneni nayo. Ni siri za mambo ya ulinzi na usalama.

At the other side ni nyinyinyinyi/sisi raia ndo huwa mnachezewa/tunachezewa akili pale. Wanaokuwaga wanaanikwa ni watoto wa walalahoi na mahohehahe kama sisi... wasio na ma-godfather nyuma, ila Wanaotokea familia za vibopa na channels nzito katu hutakaa ukawaona pale. Kuna ukiritimba, unyama, ushenzi, rushwa na madudu ya ajabu sana yanaendelea humo.
 
na
Asipopatikana na hatia ,nani anawajibika kumsafisha

Tumia kidogo akili ,hizohizo pamoja upande mmoja zinaoza
 
Back
Top Bottom